meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
wana jamvi wasalaam! leo nimeona nitoe dukudukulangu juu ya matumizi ya title Dr,nadhani tumeshuhudia watu wengi wakitumia jina hili bila kuwa na sifa stahili.mfano Dr Manyaunyau,Dr Ndodi,Dr mandakindaki n.k.i think ni wakati muafaka wa kuweka sheria inayokataza matumizi ya title hii hovyohovyo.thamani yake imeshuka sana jamani.
nawasilisha:
nawasilisha: