Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

Sikuipenda heat/cooling effect unapuliza huku unakoroga mpaka unaona kihindi hindi!!!!!!!

Meterbridge inasumbua kumbe limeliwa na kutu halafu techniciana anakuambia simpo tu chukua nyingine wakati time imekwenda!!!!!!!!!!

Wapi Nzoih na Docebit vos Omnia
I THINK YOU ARE PUGU BOY

Sio kweli et imeshikwa na kutu sijawahi ona shule yyte ya selikali ikiwa hivyo
 
Tiryo la MKANDAWILE la ORGANIC & INORGANIC ni mwisho wa matatizo,jamaa katifua kila kitu hadi roho inasuuzika... Akina issue,mandia,unga wanaishia ku copy and paste tu!!

Mkuu tunazungumzia physics
 
Mimi hao akina mkadawile mtiga n.k sikupta huko ila nilikuwa nakomaa kivyangu kutokana na msingi wangu wa physics kuwa mzuri make nilikamua engineering science o'level. Ila bahati mbaya mwl wangu physic alifariki r.i.p mwalimu Katunzi Mazengo Tech, alinifanya nipate 100/100 necta ya f iv 2003!
Mziki wa magnetism advance duu kiukweli ulikuwa unanizingua kiaina!
 
This was my favourite subject of all tym bt magnetism nilikuwa siipend too much 4mulars
 
Dah kwkweli maisha haya eti leo ni muhasibu ila sijawahi enjoy the way i used to enjoy in physixs
 
Mechanics: Newtons laws of motion, Projectile motion hasahasa maswali ya Kwenye UP(university physics)
 
Sikuipenda heat/cooling effect unapuliza huku unakoroga mpaka unaona kihindi hindi!!!!!!!

Meterbridge inasumbua kumbe limeliwa na kutu halafu techniciana anakuambia simpo tu chukua nyingine wakati time imekwenda!!!!!!!!!!

Wapi Nzoih na Docebit vos Omnia
I THINK YOU ARE PUGU BOY

hahahahaaaa, umenikumbusha mbali sana, tuna zama pondi kule miaka ile 2006 tunameza UP halaf ukija nzoih anakutia 15 kwa 100, dah! namkumbuka MAMA G, MIHOGO YA MAMA PENDO(R.I.P) Duh, mzee kiberiti, mwl ogesa, na sherimo ah, DOCEBID VOS OMNIA.
 
This was my favourite subject of all tym bt magnetism nilikuwa siipend too much 4mulars

magnetism ilikuwa topic ------- yan fomular kibao wa kina thumb rules sijuh
 
Mimi hao akina mkadawile mtiga n.k sikupta huko ila nilikuwa nakomaa kivyangu kutokana na msingi wangu wa physics kuwa mzuri make nilikamua engineering science o'level. Ila bahati mbaya mwl wangu physic alifariki r.i.p mwalimu Katunzi Mazengo Tech, alinifanya nipate 100/100 necta ya f iv 2003!
Mziki wa magnetism advance duu kiukweli ulikuwa unanizingua kiaina!

daaah katunzi ni marehemu? r.i.p! mwaka huo nilikuwa form one hapo mazengo
 
magnetism ilikuwa na formula zaidi ya mia moja tuition pale YWCA opp livingstone hotel ilikuwa balaa...
 
Ah mziki wa mechanics ni balaa mambo mengi kichiz bora hata wave kiac fulani ilikuwa inaeleweka!
 
kitu mechanical engineering pale ATC & DIT.

Tulikuwa na mwl. anaitwa kichonge. mamaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Electronics mambo diode 0 1 0 duuh?Wapi wazee wa pale kati perfect vision 2004,tuition ya nguvu class watu km mia gorofani yule jamaa anaitwa nani sijui black hivi
 
Back
Top Bottom