Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

Physics naipenda sn hasa ya advance kwani inasaidia sn chuo na kazini hakuna nnachoweza kukisahau. Ugumu ulikuwa kwenye Rotation of rigid bodies. Hapo ni balaa nikikuta mechanics kipengele kimoja ina hiyo party km ni la kuchagua cfanyi maana yalikuwa yananiona sn
 
Electronics mambo diode 0 1 0 duuh?Wapi wazee wa pale kati perfect vision 2004,tuition ya nguvu class watu km mia gorofani yule jamaa anaitwa nani sijui black hivi

Sitasahau topic hizi O-level kwa wale tuliopitia Tech: Magnetomotive Forces(MMF- Engineering Science, kwa shule za kawaida Physics- EMF)
 
Mimi hao akina mkadawile mtiga n.k sikupta huko ila nilikuwa nakomaa kivyangu kutokana na msingi wangu wa physics kuwa mzuri make nilikamua engineering science o'level. Ila bahati mbaya mwl wangu physic alifariki r.i.p mwalimu Katunzi Mazengo Tech, alinifanya nipate 100/100 necta ya f iv 2003!
Mziki wa magnetism advance duu kiukweli ulikuwa unanizingua kiaina!
Kisima siamini kama Katunzi ni marehemu sasa. Du huyu Mwl alikuwa anajua sana. R.I.P Katunzi jamani dunia tunapita.
Nilimaliza pale O level 2001 na kama sikosei nilikuacha form 2.
Nilikuwa nikiishi Azimio kwa Ishengoma aka Askofu Room Namba 1 down.
 
Last edited by a moderator:
achana na kitu inaitwa magnetism iliyochanganywa na wave!!! Utameza sana formula zake nyepesi njoo kwenye pepa sasa!! Kuna jamaa alikuwa anaitwa MODDY ana tuition yake maeneo ya mchikichini Ilala,.. Huyu jamaa alikuwa mwisho bhana kwenye Physics.

Mie baada ya O level nikaingia MTC(Mbeya Technical Colege) kipindi hicho na nikapiga Electrical Engineering. Hiyo magnetism unaiona kama MAGAZIJUTO aisee.
 
Dah thermodynamic ilikua ikinitesa sana kwa sababu sikupata mwalimu, nilijisomesha mwenyewe huku kitabu cha rogger manchester kilikua ndio ninachotumia katika kufanya masuali
 
Newtons laws,baadhi ya vipengele vya circular motion na magnetism kwangu ilikuwa ka kupasua jiwe kwa kidole!dah mziki wa adv specially pcm,pcb na pgm ni hatari!
 
Fluid mechanics na Heat....zilikuwa zinanivutia kweli. Na Environmental physics ambayo PCB ilikuwa tunachukulia marks tu.
 
Mechanics,pale penye rocket repulsion njomba chi nchezo
 
Daah, mie magnetism, projectile na rotation motion niliamua kuzipaki pembeni.
 
Mnyama anaitwa Rotation dynamics in rigid bodies, mpaka leo nakumbuka michoro tu Ile ya mabomba na maswali simple simple,,,projectile kuna maswali piga ua hayatembei, magnetism haikuniwea ngumu sana.............chemistry hakuna conversione ningeyoweza kuikosa hata ingetoka wapi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wave siipendi ile topic basi tuu.....mpaka leo na kesho wave siipendi, nilipofika chuo kuna baadhi ya topic zilikua zinataka concepts za wave, bas ni mtafutano tuu....nashukuru nilitumia source nying ku-organize mambo yakae sawa hadi nikafaulu. Ila wave siipendi
 
Sikuipenda heat/cooling effect unapuliza huku unakoroga mpaka unaona kihindi hindi!!!!!!!

Meterbridge inasumbua kumbe limeliwa na kutu halafu techniciana anakuambia simpo tu chukua nyingine wakati time imekwenda!!!!!!!!!!

Wapi Nzoih na Docebit vos Omnia
Wap Sarawati kabla ya Nzoi?
 
Back
Top Bottom