Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

mwl Nzoi..!! test yake ya kwanza V5 nilipata 08% wakati O-Level nilikua mkali wa physics.
Sikuipenda heat/cooling effect unapuliza huku unakoroga mpaka unaona kihindi hindi!!!!!!!

Meterbridge inasumbua kumbe limeliwa na kutu halafu techniciana anakuambia simpo tu chukua nyingine wakati time imekwenda!!!!!!!!!!

Wapi Nzoih na Docebit vos Omnia
 
Back
Top Bottom