Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

...zote,form one mpaka form 4...
 
yeah,he teaches kemia bt he also knows phys!
yaani ukifundishwa na mkandawile then usielewe basi wewe sikio la kufa tu,mzee wa kolon kolon,nundu,mzee wa shabaaash,kudadaki..yaani ana vionjo flani hivi utapenda tu,kuna pugu boy mmoja alimfundisha zamani anaitwa bita kuboja yaani anampa sifa huyo mchizi balaa,alituambia ni daktari muhimbili,plus kumsifia mke wake..
 
huyo jamaa ni mtata,alinifundisha modern physics kwa kweli nilikua siwezi kukosa swali,ila usimsahau mtiga,huyo ndio mwisho wa reli.

mtiga yuko vizuri pia ila ghara a zake zilikuwa juu sana, monthly payment wakati watu tunalipia kwa masaa tu kwa Moddy unasepa zako,. Mtiga yupo nyuma ya Nakiette pharmacy mwenge
 
Sikuipenda heat/cooling effect unapuliza huku unakoroga mpaka unaona kihindi hindi!!!!!!!

Meterbridge inasumbua kumbe limeliwa na kutu halafu techniciana anakuambia simpo tu chukua nyingine wakati time imekwenda!!!!!!!!!!

Wapi Nzoih na Docebit vos Omnia

People Usually Go to Universisty
 
yaani ukifundishwa na mkandawile then usielewe basi wewe sikio la kufa tu,mzee wa kolon kolon,nundu,mzee wa shabaaash,kudadaki..yaani ana vionjo flani hivi utapenda tu,kuna pugu boy mmoja alimfundisha zamani anaitwa bita kuboja yaani anampa sifa huyo mchizi balaa,alituambia ni daktari muhimbili,plus kumsifia mke wake..

Tiryo la MKANDAWILE la ORGANIC & INORGANIC ni mwisho wa matatizo,jamaa katifua kila kitu hadi roho inasuuzika... Akina issue,mandia,unga wanaishia ku copy and paste tu!!
 
chezea mandia weye?
 
Tiryo la MKANDAWILE la ORGANIC & INORGANIC ni mwisho wa matatizo,jamaa katifua kila kitu hadi roho inasuuzika... Akina issue,mandia,unga wanaishia ku copy and paste tu!!
wala hujakosea,yule jamaa kweli ni genious,anamwaga nondo zote hizo bila daftari,yaani amemeza inorganic na organic kila kitu hadi nukta.
 
Back
Top Bottom