Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

Electronics ! Ila binafsi nlikua napenda sana kutumia ma pamphlet ya Jamaa anaitwa SAID MGOTE ! Japo kua sikupiga pindi kwake ila yale madude yake ni nooma sana ! Naiman jamaa kantoa kiasi fulani hiv !! Jamaa anajua ( thats my Opinion )
 
fluid especially bernoulis principle and viscosity
 
kijana kuna maswali ya projectile ni matata,mfano mzuri ni la necta2007,kalitafute ulione,tafuta na kitabu kinaitwa university physics..

Mkuu UP tumesolve sana enzi zetu,mpaka Understanding Mechanics kile kitabu cha kijan kama sikosei tumelamba mle maswali!tulikuwa tumejigawa kimakund then tunatungiana pepaz na kuzisahihisha humo humo class!matango pori nearly yote tuliyapitia/kuyafanya!
 
Sikuipenda heat/cooling effect unapuliza huku unakoroga mpaka unaona kihindi hindi!!!!!!!

Meterbridge inasumbua kumbe limeliwa na kutu halafu techniciana anakuambia simpo tu chukua nyingine wakati time imekwenda!!!!!!!!!!

Wapi Nzoih na Docebit vos Omnia

Kaka naona ulikuwa Pugu,mambo ya mzee Nzoih,anakuambia,nakumbia kijana utakohoa damu....mh ila salute sana kwa yule mwalimu,alinifanya niielewe physics mwanzo mwisho,alitufundisha practicle zote mpaka za magnetism,Searle Bar method,yan topic zote tulifanya practicle zake kama zilikuwepo!(I mean kama the said topic ilikuwa na some experiment)
 
Been there done that ; maendeleo5@pugupondi.com
 
Dah,kila tcha ana utata wake bwana kuna m2 anaitwa jimmyb ni mtata phys usiambiwe
 
kijana kuna maswali ya projectile ni matata,mfano mzuri ni la necta2007,kalitafute ulione,tafuta na kitabu kinaitwa university physics..
Mi nakumbuka wakati tuko Advance, tulimaliza UP yote kwenye mechanics na baadhi ya topic nyingine sizikumbuki vizuri maana kitambo sana. Kwahiyo hadi hizo projectile unazizoona zimesimama tulizipiga fresh tu. Anyway sasa hivi sikumbuki kitu, yaani haina hata maana ya kukomaa na yale madude, sasa hivi njaa tu dah!
 
Ndio upumbafuuu wa physics na maths, unasoma matango msitu kibao, afu ukija uraiani yote ni kama mabua na maboya, yaani useless....

Chem+bios ndio mambo yenye mantiki, very applicable....
 
kwa huo mchango wako kwel we nanga tenah la demo
 
Electronics ile ni balaa, zile gate haaaa aisee sijui kwa sasa km naeza elewa
 
Back
Top Bottom