Tupia maneno Pozi la Mkulu hapo la kushika suruali

weka maneno


5+(1).JPG

Kiatu kipya! Utakionaje wakati suit haijapunguzwa urefu ilipoletwa usiku kabla ya kuanza mkutano?
 
Duh, naona sura kama ya Mukandala hapo nyuma ya mkulu, kushoto kwa huyo mama mwenye pink, kwani na Mukandala ni mbunge wa bunge la Africa Mashariki?
 
hizi suti za washington pale,disgner wake vp hakumshauri au yule jamaa wa radio clouds.we acha tu 2015 tutawakimbizaje?
 
ACHUMBIWE? AH WAPI? SKU IZI MIMAMA WALA HAINA MPANGO WA KUOLEWA ILA YANAVAA PETE, KUCHUMBIWA MCHEZO NUNGAYEMBE NI NUNGAYEMBE Tu MILELE

eti watoto wa mjini siku hizi wanasema kuchumbiwa lazima uwe na marefarii wa kueleweka,hapa naanza kupata wasiwasi kama na huu upepo upite bila ya mama ya mjengo kupata ata kiserengeti boy basi rafki yangu itakua imekula kwake.
 
Mkulu anatakiwa nimchukue na nimueke kwenye duka langu maana amesimama kama sanamu.
Nimecheka sana, thank you for making my day Saudari, kubwa zaidi ni la huyu bi Kirob....o, usiku huu tena kuna mwekezaji amejitokeza!!! Kweli hakuna lisilowezekana kwake yeye aaminiye.
 
Back
Top Bottom