Engr. Hersi Said & Arafat Haji Kamatieni hapo hapo msiachie hadi watakapotubu

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Kwanza kabisa,Niwape pole umma wa watanzania kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa waziri mkuu Mh Edward Ngoyai Lowasa

Pili,niwape Pole wanayanga wenzangu kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa timu yetu ya Yanga ndugu Imani Madega.

Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi, Ameen!.

Katika pitapita zangu leo mitandaoni nimekutana na maneno ya kejeli na yasiyokuwa yakiungwana kutoka kwa aliyekuwa mchezaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele,ambaye amedai viongozi na mashabiki wa Yanga wanamsema vibaya kisa kufanya vibaya kwenye klabu yake ya Sasa klabu ya Pyramids kutoka huko Misri.

Ameenda mbali sana hadi kufikia kuwashutumu mashabiki na viongozi wa Yanga kwamba wamemtupia majini hali inayopelekea yeye kutokufanya vizuri huko aliko!.

Kiukweli nimeshangazwa sana na maneno ya Fiston Kalala Mayele ambaye kwangu hakuwa tu mchezaji hodari kutoka Young Africans bali alikuwa mwanafamilia kwasababu alipendwa na wanayanga kuliko hata wao wenyewe (Mashabiki) kuzipenda familia na ndugu zao!.Leo nimejiuliza maswali mengi sana kama shabiki ukiachilia mimi pia ni mwanachama hai wa Young Africans.

Mayele ambaye tangu aondoke Yanga amekuwa akishambuliwa na mashabiki wa Simba mtandaoni kwa kumzodoa kwa kauli mbali mbali za kubeza kwa kuwa hafanyi vizuri kwenye klabu yake ya sasa ya Pyramids kama alivyokuwa akifanya maajabu Yanga!.Mashabiki wa Yanga wameendelea kumkingia kifua Fiston Kalala Mayele ingawa nao pia wanaelewa kabisa ya kwamba huko aliko hafanyi vizuri kama alivyokuwa Yanga!.

Ilifika mbali mashabiki wa Simba hadi wengine kumdhihaki ya kwa maneno yafuatayo:-

"Shambuliaji la Instagram"

"Kazi ya Mayele kwenye kikosi cha Kongo ni kubeba viatu na simu za wachezaji wenzie"

"Anafikiri Pyramid ni Uto,huko hakuna kubebwa bebwa"

"Hakuna mchezaji hapo,Yanga alibahatisha tu na kubebwa na marefa"

"Tuliwaambia Uto Mayele si Foward,angalia katika mechi 7 hana goli hata moja"

Ndugu zangu hayo ni maneno baadhi ya dhihaka yaliyokuwa yakitolewa na mashabiki wa Simba kwenda kwa Mchezaji Fiston Kalala Mayele.

Kilichonishangaza leo anawalalamikia Mashabiki wa Yanga ambao wamekuwa naye begabega huku wakimtetea kutokana na dhihaka hizo kutoka kwa mashabiki wa Simba!.

Nikiwa kama Mwanchama hai wa Young Africans niliamua kufuatilia na kufahamu ni kitu gani kinaendelea!.

Mtakumbuka hata Feisal Salum alipokuwa akihitaji kuondoka Yanga alianza kuwachafua Viongozi wa Yanga pamoja na Mashabiki ili aonekane Viongozi ni wabaya,na hiki anachokifanya Fiston Kalala Mayele anapita njia ileile kutoka kwa watu walewale ili kwake iwe rahisi kumsafishia njia!.

Kwa habari za uhakika nilizopata kutoka kwa kiongozi ninaye muamini ndani ya klabu yangu ya Yanga ni kwamba,bwana Fiston Kalala Mayele anataka kutolewa kwa Mkopo na Timu ya Azam imeshatuma Ofa ya kumchukua,sababu ya yeye kutolewa kwa mkopo ni kutokufanya vizuri na pia kocha aliyemsajili Fiston Mayele pale Pyramid keshatimuliwa,hivyo kocha wa sasa hana mipango nae kwenye kikosi chake kwa sasa,Hivyo Mayele aliwaambia Azam ya Kwamba "Endapo mkinichukua nyie hamuoni nitatengeneza maadui kutoka kwa timu yangu ya zamani ya Yanga?"

Azam "Hilo wala lisikutishe,wewe utaanza kuwatupia maneno viongozi wa Yanga na mashabiki wao ili ionekane wao ndiyo wanakufanyia na kukuletea matatizo,hiyo kwako itakuwa rahisi"

Ingawa si maneno rasmi na kiongozi aliniambia hakuyasikia popote lakini hata kiongozi amedai (Uenda)hicho ndicho kinachoendelea.

Swali la kujiuliza,Mayele ni mchezaji wa mpira na anatafuta pesa,ameondoka Yanga bado akiwa anapendwa na wanayanga na yeye hilo analijua,Je kwanini aichafue Yanga kwa maneno ya Uongo na Kashfa?

Viongozi wa Azam wanachofanya ni kuchochea chuki ili ionekane Uongozi wa Hersi na Arafat Haji uonekane unaonea wachezaji!.Kama mtakumbuka mwaka jana wakati kila Yanga akitaka kucheza mechi muhimu walikuwa wakimchochea Feisal Salum anaanza vitimbwi,mashabiki walikuwa wanaacha kudili na timu kwenye mechi muhimu wao wanadili na vitimbwi vya Feisal Salum,Viongozi wa Yanga walisimama Imara hadi timu ikabeba Ubingwa na pia kufika fainali ya CAF Confederation Cup!.

Hivyo hivyo leo ambapo viongozi wa Yanga wakiwa wamesimama Imara na kuona Yanga ikisonga mbele kimaendeleo,watu walewale wamemlisha maneno Fiston Kalala Mayele ili kuwatupia lawama viongozi wa Yanga na kutaka kuwatoa mchezoni!

Yanga ya sasa niseme tu haimuhizaji Fiston Mayele,yeye kama anahitaji kwenda Azam aende kwa amani na wala mashabiki wa Yanga hatuna Ugomvi naye!.

Viongozi wa Yanga hivi sasa wanaproject kubwa mno,hivyo hizi ngonjera wala hazita saidia chochote!.

Kwa uongozi huu wa Hersi Said,Arafat Haji & Kamati ya utendaji niwahakikishie wanayanga ya kwamba,kuna watu na timu zitaita maji mayi!.

Niwaombe Rais wangu Hersi uendelee kukamatia na kushikilia hapohapo kwasababu kuna watu wanatapatapa kwasababu ya maendeleo haya ya Young Africans!.
 
Umenena vyema mkuu, wanayanga tusimame imara na viongozi wetu, kamwe tusiyumbishwe na hili tapeli la kikongomani na hasa ukizingatia Msimamizi wa mchezaji huyu wa Instagram ni yule mama Jasmini aliyemlisha maneno ya kitapeli foseli katika interview yake ndani ya clouds fm.

Hivyo niwakati wa kupambana näe na hatutorudi nyuma katika hii vita.. Mayele!, Mayele!, Mayele!!, nimekuita mara tatu, tulipokukopesha MAJINI yetu ili uwafunge simba hukutoa neno, Leo hii yanga sc tumerudisha MAJINI yetu na kuamua kumpa okrah megic, umeamua kuleta sintofahamu!!, tukome
 
Pili,niwape Pole wanayanga wenzangu kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa timu yetu ya Yanga ndugu Imani Madega....
Umeandika kitabu, ila hii haibidilishi ya kuwa mnamtupia majini mwana,, acheni hizo, nyie uto vipi🤔
 
Uwasilishaji wako ni mzuri na umejua kuunganisha matukio. Kiukweli hakuna mchezaji aliyependwa na kukubalika kama Mayele. Na hata alipokuwa anacheza huko Pyramid na Congo, wana Yanga wengi walikuwa wanatamani apangwe kikosini na asipopangwa basi kocha anapewa kasoro ila leo ndio yamekuwa ndio malipo yao kwa Mayele. Inafikirisha sana. Ila malipo ni hapa hapa duniani.
 
Ayo ni mambo madogo Sana kuyajadili klabu kubwa kama Yanga, Mayele anaweza Rudi na kuchezea timu yoyote na isilete madhara yoyote kwa Yanga.

Morison alienda Simba na Yanga ikatwaa vikombe vyote yeye Morison akiwa Simba.

Wameondoka Nabi na wasaidizi wake, Mayele, Bangal, Juma Shabani , Feisal ao walikua watu muhimu na Bado Yanga inazidi kutesa na kuwa imara.

Kama ni kweli Mayele anataka kurudi Bongo hauitaji Drama zozote kama alivyofanya Faisal.

Yanga Iko imara Sana ku deal na vitu vidogo kama hivyo kwasasa tu focus kwenye point 3 Kila mchezo hesabu zitakua mwisho wa msimu.
 
Kwanza kabisa,Niwape pole umma wa watanzania kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa waziri mkuu Mh Edward Ngoyai Lowasa

Pili,niwape Pole wanayanga wenzangu kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa timu yetu ya Yanga ndugu Imani Madega.

Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi, Ameen!.

Katika pitapita zangu leo mitandaoni nimekutana na maneno ya kejeli na yasiyokuwa yakiungwana kutoka kwa aliyekuwa mchezaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele,ambaye amedai viongozi na mashabiki wa Yanga wanamsema vibaya kisa kufanya vibaya kwenye klabu yake ya Sasa klabu ya Pyramids kutoka huko Misri.

Ameenda mbali sana hadi kufikia kuwashutumu mashabiki na viongozi wa Yanga kwamba wamemtupia majini hali inayopelekea yeye kutokufanya vizuri huko aliko!.

Kiukweli nimeshangazwa sana na maneno ya Fiston Kalala Mayele ambaye kwangu hakuwa tu mchezaji hodari kutoka Young Africans bali alikuwa mwanafamilia kwasababu alipendwa na wanayanga kuliko hata wao wenyewe (Mashabiki) kuzipenda familia na ndugu zao!.Leo nimejiuliza maswali mengi sana kama shabiki ukiachilia mimi pia ni mwanachama hai wa Young Africans.

Mayele ambaye tangu aondoke Yanga amekuwa akishambuliwa na mashabiki wa Simba mtandaoni kwa kumzodoa kwa kauli mbali mbali za kubeza kwa kuwa hafanyi vizuri kwenye klabu yake ya sasa ya Pyramids kama alivyokuwa akifanya maajabu Yanga!.Mashabiki wa Yanga wameendelea kumkingia kifua Fiston Kalala Mayele ingawa nao pia wanaelewa kabisa ya kwamba huko aliko hafanyi vizuri kama alivyokuwa Yanga!.

Ilifika mbali mashabiki wa Simba hadi wengine kumdhihaki ya kwa maneno yafuatayo:-

"Shambuliaji la Instagram"

"Kazi ya Mayele kwenye kikosi cha Kongo ni kubeba viatu na simu za wachezaji wenzie"

"Anafikiri Pyramid ni Uto,huko hakuna kubebwa bebwa"

"Hakuna mchezaji hapo,Yanga alibahatisha tu na kubebwa na marefa"

"Tuliwaambia Uto Mayele si Foward,angalia katika mechi 7 hana goli hata moja"

Ndugu zangu hayo ni maneno baadhi ya dhihaka yaliyokuwa yakitolewa na mashabiki wa Simba kwenda kwa Mchezaji Fiston Kalala Mayele.

Kilichonishangaza leo anawalalamikia Mashabiki wa Yanga ambao wamekuwa naye begabega huku wakimtetea kutokana na dhihaka hizo kutoka kwa mashabiki wa Simba!.

Nikiwa kama Mwanchama hai wa Young Africans niliamua kufuatilia na kufahamu ni kitu gani kinaendelea!.

Mtakumbuka hata Feisal Salum alipokuwa akihitaji kuondoka Yanga alianza kuwachafua Viongozi wa Yanga pamoja na Mashabiki ili aonekane Viongozi ni wabaya,na hiki anachokifanya Fiston Kalala Mayele anapita njia ileile kutoka kwa watu walewale ili kwake iwe rahisi kumsafishia njia!.

Kwa habari za uhakika nilizopata kutoka kwa kiongozi ninaye muamini ndani ya klabu yangu ya Yanga ni kwamba,bwana Fiston Kalala Mayele anataka kutolewa kwa Mkopo na Timu ya Azam imeshatuma Ofa ya kumchukua,sababu ya yeye kutolewa kwa mkopo ni kutokufanya vizuri na pia kocha aliyemsajili Fiston Mayele pale Pyramid keshatimuliwa,hivyo kocha wa sasa hana mipango nae kwenye kikosi chake kwa sasa,Hivyo Mayele aliwaambia Azam ya Kwamba "Endapo mkinichukua nyie hamuoni nitatengeneza maadui kutoka kwa timu yangu ya zamani ya Yanga?"

Azam "Hilo wala lisikutishe,wewe utaanza kuwatupia maneno viongozi wa Yanga na mashabiki wao ili ionekane wao ndiyo wanakufanyia na kukuletea matatizo,hiyo kwako itakuwa rahisi"

Ingawa si maneno rasmi na kiongozi aliniambia hakuyasikia popote lakini hata kiongozi amedai (Uenda)hicho ndicho kinachoendelea.

Swali la kujiuliza,Mayele ni mchezaji wa mpira na anatafuta pesa,ameondoka Yanga bado akiwa anapendwa na wanayanga na yeye hilo analijua,Je kwanini aichafue Yanga kwa maneno ya Uongo na Kashfa?

Viongozi wa Azam wanachofanya ni kuchochea chuki ili ionekane Uongozi wa Hersi na Arafat Haji uonekane unaonea wachezaji!.Kama mtakumbuka mwaka jana wakati kila Yanga akitaka kucheza mechi muhimu walikuwa wakimchochea Feisal Salum anaanza vitimbwi,mashabiki walikuwa wanaacha kudili na timu kwenye mechi muhimu wao wanadili na vitimbwi vya Feisal Salum,Viongozi wa Yanga walisimama Imara hadi timu ikabeba Ubingwa na pia kufika fainali ya CAF Confederation Cup!.

Hivyo hivyo leo ambapo viongozi wa Yanga wakiwa wamesimama Imara na kuona Yanga ikisonga mbele kimaendeleo,watu walewale wamemlisha maneno Fiston Kalala Mayele ili kuwatupia lawama viongozi wa Yanga na kutaka kuwatoa mchezoni!

Yanga ya sasa niseme tu haimuhizaji Fiston Mayele,yeye kama anahitaji kwenda Azam aende kwa amani na wala mashabiki wa Yanga hatuna Ugomvi naye!.

Viongozi wa Yanga hivi sasa wanaproject kubwa mno,hivyo hizi ngonjera wala hazita saidia chochote!.

Kwa uongozi huu wa Hersi Said,Arafat Haji & Kamati ya utendaji niwahakikishie wanayanga ya kwamba,kuna watu na timu zitaita maji mayi!.

Niwaombe Rais wangu Hersi uendelee kukamatia na kushikilia hapohapo kwasababu kuna watu wanatapatapa kwasababu ya maendeleo haya ya Young Africans!.
Andiko reefu lakini haliondoi ukweli kuwa yanga ni club inayofuga majini na kuwarushia wachezaji wanaoondoka huku bado wanatumainiwa.

Simba inawashabiki tofauti sana kwani walimpenda Mayele ingawa hakuwa anachezea Simba. Walimpenda kwa umahiri wake na style yake ya kushangilia.

Yanga mnajulikana mna roho mbaya kwani sio mara yenu ya kwanza.
Vipi kuhusu Fei?
 
Tumekusikia mwenyekiti wa kamati ya majini hahaa
 
Yupo kwenye management ya Feisal na Misri kafail anamtafuta mchawi Bongo,ukiwa star lazima ukubali maneno yote na ufanye mambo yako,sasa anahangaika kujibizana na mashabiki mitandaoni
 
Umenena vyema mkuu, wanayanga tusimame imara na viongozi wetu, kamwe tusiyumbishwe na hili tapeli la kikongomani na hasa ukizingatia Msimamizi wa mchezaji huyu wa Instagram ni yule mama Jasmini aliyemlisha maneno ya kitapeli foseli katika interview yake ndani ya clouds fm.

Hivyo niwakati wa kupambana näe na hatutorudi nyuma katika hii vita.. Mayele!, Mayele!, Mayele!!, nimekuita mara tatu, tulipokukopesha MAJINI yetu ili uwafunge simba hukutoa neno, Leo hii yanga sc tumerudisha MAJINI yetu na kuamua kumpa okrah megic, umeamua kuleta sintofahamu!!, tukome
Mayele sikudhani angekuwa mpumbafu Kia's hiki ameniudhi mno mshenzi sana
 
Kwanza kabisa,Niwape pole umma wa watanzania kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa waziri mkuu Mh Edward Ngoyai Lowasa

Pili,niwape Pole wanayanga wenzangu kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa timu yetu ya Yanga ndugu Imani Madega.

Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi, Ameen!.

Katika pitapita zangu leo mitandaoni nimekutana na maneno ya kejeli na yasiyokuwa yakiungwana kutoka kwa aliyekuwa mchezaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele,ambaye amedai viongozi na mashabiki wa Yanga wanamsema vibaya kisa kufanya vibaya kwenye klabu yake ya Sasa klabu ya Pyramids kutoka huko Misri.

Ameenda mbali sana hadi kufikia kuwashutumu mashabiki na viongozi wa Yanga kwamba wamemtupia majini hali inayopelekea yeye kutokufanya vizuri huko aliko!.

Kiukweli nimeshangazwa sana na maneno ya Fiston Kalala Mayele ambaye kwangu hakuwa tu mchezaji hodari kutoka Young Africans bali alikuwa mwanafamilia kwasababu alipendwa na wanayanga kuliko hata wao wenyewe (Mashabiki) kuzipenda familia na ndugu zao!.Leo nimejiuliza maswali mengi sana kama shabiki ukiachilia mimi pia ni mwanachama hai wa Young Africans.

Mayele ambaye tangu aondoke Yanga amekuwa akishambuliwa na mashabiki wa Simba mtandaoni kwa kumzodoa kwa kauli mbali mbali za kubeza kwa kuwa hafanyi vizuri kwenye klabu yake ya sasa ya Pyramids kama alivyokuwa akifanya maajabu Yanga!.Mashabiki wa Yanga wameendelea kumkingia kifua Fiston Kalala Mayele ingawa nao pia wanaelewa kabisa ya kwamba huko aliko hafanyi vizuri kama alivyokuwa Yanga!.

Ilifika mbali mashabiki wa Simba hadi wengine kumdhihaki ya kwa maneno yafuatayo:-

"Shambuliaji la Instagram"

"Kazi ya Mayele kwenye kikosi cha Kongo ni kubeba viatu na simu za wachezaji wenzie"

"Anafikiri Pyramid ni Uto,huko hakuna kubebwa bebwa"

"Hakuna mchezaji hapo,Yanga alibahatisha tu na kubebwa na marefa"

"Tuliwaambia Uto Mayele si Foward,angalia katika mechi 7 hana goli hata moja"

Ndugu zangu hayo ni maneno baadhi ya dhihaka yaliyokuwa yakitolewa na mashabiki wa Simba kwenda kwa Mchezaji Fiston Kalala Mayele.

Kilichonishangaza leo anawalalamikia Mashabiki wa Yanga ambao wamekuwa naye begabega huku wakimtetea kutokana na dhihaka hizo kutoka kwa mashabiki wa Simba!.

Nikiwa kama Mwanchama hai wa Young Africans niliamua kufuatilia na kufahamu ni kitu gani kinaendelea!.

Mtakumbuka hata Feisal Salum alipokuwa akihitaji kuondoka Yanga alianza kuwachafua Viongozi wa Yanga pamoja na Mashabiki ili aonekane Viongozi ni wabaya,na hiki anachokifanya Fiston Kalala Mayele anapita njia ileile kutoka kwa watu walewale ili kwake iwe rahisi kumsafishia njia!.

Kwa habari za uhakika nilizopata kutoka kwa kiongozi ninaye muamini ndani ya klabu yangu ya Yanga ni kwamba,bwana Fiston Kalala Mayele anataka kutolewa kwa Mkopo na Timu ya Azam imeshatuma Ofa ya kumchukua,sababu ya yeye kutolewa kwa mkopo ni kutokufanya vizuri na pia kocha aliyemsajili Fiston Mayele pale Pyramid keshatimuliwa,hivyo kocha wa sasa hana mipango nae kwenye kikosi chake kwa sasa,Hivyo Mayele aliwaambia Azam ya Kwamba "Endapo mkinichukua nyie hamuoni nitatengeneza maadui kutoka kwa timu yangu ya zamani ya Yanga?"

Azam "Hilo wala lisikutishe,wewe utaanza kuwatupia maneno viongozi wa Yanga na mashabiki wao ili ionekane wao ndiyo wanakufanyia na kukuletea matatizo,hiyo kwako itakuwa rahisi"

Ingawa si maneno rasmi na kiongozi aliniambia hakuyasikia popote lakini hata kiongozi amedai (Uenda)hicho ndicho kinachoendelea.

Swali la kujiuliza,Mayele ni mchezaji wa mpira na anatafuta pesa,ameondoka Yanga bado akiwa anapendwa na wanayanga na yeye hilo analijua,Je kwanini aichafue Yanga kwa maneno ya Uongo na Kashfa?

Viongozi wa Azam wanachofanya ni kuchochea chuki ili ionekane Uongozi wa Hersi na Arafat Haji uonekane unaonea wachezaji!.Kama mtakumbuka mwaka jana wakati kila Yanga akitaka kucheza mechi muhimu walikuwa wakimchochea Feisal Salum anaanza vitimbwi,mashabiki walikuwa wanaacha kudili na timu kwenye mechi muhimu wao wanadili na vitimbwi vya Feisal Salum,Viongozi wa Yanga walisimama Imara hadi timu ikabeba Ubingwa na pia kufika fainali ya CAF Confederation Cup!.

Hivyo hivyo leo ambapo viongozi wa Yanga wakiwa wamesimama Imara na kuona Yanga ikisonga mbele kimaendeleo,watu walewale wamemlisha maneno Fiston Kalala Mayele ili kuwatupia lawama viongozi wa Yanga na kutaka kuwatoa mchezoni!

Yanga ya sasa niseme tu haimuhizaji Fiston Mayele,yeye kama anahitaji kwenda Azam aende kwa amani na wala mashabiki wa Yanga hatuna Ugomvi naye!.

Viongozi wa Yanga hivi sasa wanaproject kubwa mno,hivyo hizi ngonjera wala hazita saidia chochote!.

Kwa uongozi huu wa Hersi Said,Arafat Haji & Kamati ya utendaji niwahakikishie wanayanga ya kwamba,kuna watu na timu zitaita maji mayi!.

Niwaombe Rais wangu Hersi uendelee kukamatia na kushikilia hapohapo kwasababu kuna watu wanatapatapa kwasababu ya maendeleo haya ya Young Africans!.
Point na ukweli mtupu jamaa anatumika na. Jasmine yule wakala wake anaye msimamia mama yule mjinga sna

Anataka kuondoa yanga kwenye reli
 
Andiko reefu lakini haliondoi ukweli kuwa yanga ni club inayofuga majini na kuwarushia wachezaji wanaoondoka huku bado wanatumainiwa.

Simba inawashabiki tofauti sana kwani walimpenda Mayele ingawa hakuwa anachezea Simba. Walimpenda kwa umahiri wake na style yake ya kushangilia.

Yanga mnajulikana mna roho mbaya kwani sio mara yenu ya kwanza.
Vipi kuhusu Fei?
Sasa fei amedrop kiwango?

Mbna unaongea Kama umetabaruku
 
Kwanza kabisa,Niwape pole umma wa watanzania kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa waziri mkuu Mh Edward Ngoyai Lowasa

Pili,niwape Pole wanayanga wenzangu kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa timu yetu ya Yanga ndugu Imani Madega.

Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi, Ameen!.

Katika pitapita zangu leo mitandaoni nimekutana na maneno ya kejeli na yasiyokuwa yakiungwana kutoka kwa aliyekuwa mchezaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele,ambaye amedai viongozi na mashabiki wa Yanga wanamsema vibaya kisa kufanya vibaya kwenye klabu yake ya Sasa klabu ya Pyramids kutoka huko Misri.

Ameenda mbali sana hadi kufikia kuwashutumu mashabiki na viongozi wa Yanga kwamba wamemtupia majini hali inayopelekea yeye kutokufanya vizuri huko aliko!.

Kiukweli nimeshangazwa sana na maneno ya Fiston Kalala Mayele ambaye kwangu hakuwa tu mchezaji hodari kutoka Young Africans bali alikuwa mwanafamilia kwasababu alipendwa na wanayanga kuliko hata wao wenyewe (Mashabiki) kuzipenda familia na ndugu zao!.Leo nimejiuliza maswali mengi sana kama shabiki ukiachilia mimi pia ni mwanachama hai wa Young Africans.

Mayele ambaye tangu aondoke Yanga amekuwa akishambuliwa na mashabiki wa Simba mtandaoni kwa kumzodoa kwa kauli mbali mbali za kubeza kwa kuwa hafanyi vizuri kwenye klabu yake ya sasa ya Pyramids kama alivyokuwa akifanya maajabu Yanga!.Mashabiki wa Yanga wameendelea kumkingia kifua Fiston Kalala Mayele ingawa nao pia wanaelewa kabisa ya kwamba huko aliko hafanyi vizuri kama alivyokuwa Yanga!.

Ilifika mbali mashabiki wa Simba hadi wengine kumdhihaki ya kwa maneno yafuatayo:-

"Shambuliaji la Instagram"

"Kazi ya Mayele kwenye kikosi cha Kongo ni kubeba viatu na simu za wachezaji wenzie"

"Anafikiri Pyramid ni Uto,huko hakuna kubebwa bebwa"

"Hakuna mchezaji hapo,Yanga alibahatisha tu na kubebwa na marefa"

"Tuliwaambia Uto Mayele si Foward,angalia katika mechi 7 hana goli hata moja"

Ndugu zangu hayo ni maneno baadhi ya dhihaka yaliyokuwa yakitolewa na mashabiki wa Simba kwenda kwa Mchezaji Fiston Kalala Mayele.

Kilichonishangaza leo anawalalamikia Mashabiki wa Yanga ambao wamekuwa naye begabega huku wakimtetea kutokana na dhihaka hizo kutoka kwa mashabiki wa Simba!.

Nikiwa kama Mwanchama hai wa Young Africans niliamua kufuatilia na kufahamu ni kitu gani kinaendelea!.

Mtakumbuka hata Feisal Salum alipokuwa akihitaji kuondoka Yanga alianza kuwachafua Viongozi wa Yanga pamoja na Mashabiki ili aonekane Viongozi ni wabaya,na hiki anachokifanya Fiston Kalala Mayele anapita njia ileile kutoka kwa watu walewale ili kwake iwe rahisi kumsafishia njia!.

Kwa habari za uhakika nilizopata kutoka kwa kiongozi ninaye muamini ndani ya klabu yangu ya Yanga ni kwamba,bwana Fiston Kalala Mayele anataka kutolewa kwa Mkopo na Timu ya Azam imeshatuma Ofa ya kumchukua,sababu ya yeye kutolewa kwa mkopo ni kutokufanya vizuri na pia kocha aliyemsajili Fiston Mayele pale Pyramid keshatimuliwa,hivyo kocha wa sasa hana mipango nae kwenye kikosi chake kwa sasa,Hivyo Mayele aliwaambia Azam ya Kwamba "Endapo mkinichukua nyie hamuoni nitatengeneza maadui kutoka kwa timu yangu ya zamani ya Yanga?"

Azam "Hilo wala lisikutishe,wewe utaanza kuwatupia maneno viongozi wa Yanga na mashabiki wao ili ionekane wao ndiyo wanakufanyia na kukuletea matatizo,hiyo kwako itakuwa rahisi"

Ingawa si maneno rasmi na kiongozi aliniambia hakuyasikia popote lakini hata kiongozi amedai (Uenda)hicho ndicho kinachoendelea.

Swali la kujiuliza,Mayele ni mchezaji wa mpira na anatafuta pesa,ameondoka Yanga bado akiwa anapendwa na wanayanga na yeye hilo analijua,Je kwanini aichafue Yanga kwa maneno ya Uongo na Kashfa?

Viongozi wa Azam wanachofanya ni kuchochea chuki ili ionekane Uongozi wa Hersi na Arafat Haji uonekane unaonea wachezaji!.Kama mtakumbuka mwaka jana wakati kila Yanga akitaka kucheza mechi muhimu walikuwa wakimchochea Feisal Salum anaanza vitimbwi,mashabiki walikuwa wanaacha kudili na timu kwenye mechi muhimu wao wanadili na vitimbwi vya Feisal Salum,Viongozi wa Yanga walisimama Imara hadi timu ikabeba Ubingwa na pia kufika fainali ya CAF Confederation Cup!.

Hivyo hivyo leo ambapo viongozi wa Yanga wakiwa wamesimama Imara na kuona Yanga ikisonga mbele kimaendeleo,watu walewale wamemlisha maneno Fiston Kalala Mayele ili kuwatupia lawama viongozi wa Yanga na kutaka kuwatoa mchezoni!

Yanga ya sasa niseme tu haimuhizaji Fiston Mayele,yeye kama anahitaji kwenda Azam aende kwa amani na wala mashabiki wa Yanga hatuna Ugomvi naye!.

Viongozi wa Yanga hivi sasa wanaproject kubwa mno,hivyo hizi ngonjera wala hazita saidia chochote!.

Kwa uongozi huu wa Hersi Said,Arafat Haji & Kamati ya utendaji niwahakikishie wanayanga ya kwamba,kuna watu na timu zitaita maji mayi!.

Niwaombe Rais wangu Hersi uendelee kukamatia na kushikilia hapohapo kwasababu kuna watu wanatapatapa kwasababu ya maendeleo haya ya Young Africans!.
Hivi Mayele amewakoseeni nini hadi mnafanya mipango ya kumdhuru? Mna roho mbaya sana
 
Back
Top Bottom