Tupia maneno Pozi la Mkulu hapo la kushika suruali

Kunta Kinte

JF-Expert Member
May 18, 2009
3,687
1,500
Suruali hiyo inaelekea ni ndefu na alikuwa anaichomoa kutoka kwenye kiatu aliikanyaga, angalia mguu wa kushoto ilivyojikunja hapo nchini ni dalili tosha kwamba ilimzidi kimo!
 

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
2,454
1,250
Spika Anne Makinda amevaa 'pete ya ndoa' ???
Au macho yangu yana makengeza ??
Big-up Anne (kama hatimaye 'umejikomboa' !!!! a.k.a. umepata 'muwekezaji' !!!!)
 

MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,474
2,000
Mkulu anatakiwa nimchukue na nimueke kwenye duka langu maana amesimama kama sanamu.
 
Top Bottom