Tupia jina lako la utani na sababu ya kuitwa jina hilo

Mkorea, sababu ni story zangu nyingi nikuelezea maisha yangu nlibyokuwa Korea,
 
Walikuwa wananiita Bakita yaani ukipindisha sentensi mimi nakukosoa hapo hapo ukichapia neno sikucheleweshi ni hapohapo tuuu
Basi ikawa Bakita tuuu
 
Nikitaja nickname yangu hapa ex school na collage mates kama wapo humu wote watanijua maana ilikuwa very unique 😆


Eeh kuna ile ya kisigiso ya mama D Mjep Hahaha
 
Mzaire😂😂😂😂😂...hili jina nilitungwa na last born wetu Basi ndilo jina analonitambulisha hata kwa rafiki zake wakija home..sababu nilikuwa napenda Sana kujipamba huwezi nikuta nipo home ovyo ovyo lazima ukute mwili msafi uso Sasa Kama wanawake wa kizaire wanja lipstick hatareee🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom