Jina lako na Hatima ya kesho yako

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
Utangulizi

Miaka ya 2000s kipindi kile cha wapenzi wa mpira wa Miguu tunakumbukumbu za mchezaji wa Brasil wakati huo alikuwa ni Ronaldo kwakweli alikuwa ni mchezaji mzuri Sana na kwakufanya vizuri kwa Brasil kulikuwa na mchango Mkubwa sana kutoka kwake

Matokeo Yake wazazi wengi wakawa wanawaita watoto majina la Ronaldo yakawa mengi Kwa watanzani na wapenzi wa mipira Kwa ujumla

Miaka ya 2010's Jina la Obama na watoto wake Sasha na Malia Obama yalikuwa majina maarufu Sana na wazazi wengi waliwapa watoto wao majina hayo.

Kitu ambacho nimekuwa najiuliza kwanini wazazi wamekuwa wakipenda kuwapa majina watoto wao majina hasa ya watu maarufu kama wasanii ,wanamichezo , wanasiasa etc, kuna Siri gani katika Jina la MTU ?

Siri zilizoko kwenye Jina
Kwenye maandiko matakatifu pia tumeona Mungu alipokuwa anawatumia watu wake katika kuwabariki au kuwapa nafasi ambayo ni kubwa ambayo Mungu alikusudia juu Yao aliwabadilishia majina

Mfano tunaona kwa Abraham's alibadilishiwa Jina na kuitwa Ibrahimu , Simon kuitwa Petro ,Saul kuitwa Paul , pia hata wakina Daniel pia walipokuwa babeli walipewa majina pia

Danieli 1:7 Mkuu wa matowashi akawapa majina; alimwita Danieli, Belteshaza; na Hanania akamwita Shadraka; na Mishaeli akamwita Meshaki; na Azaria akamwita Abednego.

Sababu na Siri zilizoko ndani ya Jina

Mithali 22:1 Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi;...

Point ya Kwanza
Biblia inaposema neno heri maana yake ni baraka, Neno Heri katika Luka 6:20 limetuka kama Blessed ambayo maana yake ni baraka au kubalikiwa,

Kwa hiyo ndani ya Jina kuna Baraka za ambaye anakupa Jina Kwa hiyo kama Jina umepewa na Mungu maana yake kuna Baraka za Mungu na kama umepewa na mababu kuna Baraka za mababu(mizimu)

Point ya Pili
Ndani ya Jina kuna Mali nyingi, kama Biblia inasema ni heri kuchagua Jina Jema kuliko Mali nyingi kihesabu kwamba Jina njema thamani Yake ni kubwa kuliko Mali nyingi Kwa hiyo Jina Jema ni zaidi ya Mali nyingi unaweza kupitia zile Hesabu greater than (x_\y)

Point ya Tatu
Kama Jina Jema ni zaidi ya Mali nyingi inamaana Jina Baya ni chini ya mali nyingi, Kwa hiyo ndani ya Jina kuna utajiri pia ndani ya Jina kuna umaskini , Kwa hiyo Jina linabeba umaskini au utajiri

Kuna watu ni maskini Kwa sababu Tu ya majina ambayo wameyabeba, kuna watu wanaitwa matatizo , shida etc sasa shida nawewe zitakuachaje

Point Nne
Jina limebeba utambulisho wa MTU jinsi ulivyo ni matokeo ya Jina lako
1 Samweli 25:25 Nabali; kwa maana kama lilivyo jina lake ndivyo alivyo yeye; jina lake ndilo Nabali, na upumbavu anao;..

Point ya Tano
Ndani ya Jina kuna tabia za MTU ndiyo maana kama umechagua Jina la MTU ambaye alikuwa ni mlevi au ambaye ameoa wanawake wengi ujue na hiyo tabia itaambana na Yule ambaye amerithi Jina

Waebrania 1:4 amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.

Point ya Sita
Jina linakupa kile ambacho umerithi ,Yesu alirithi Jina la Baba ambalo ni Yesu na aliporithi ilo Jina arithi na ubora ulioko ndani ya Jina Kwa hiyo ubora wa Yesu hauko Tu Kwa Yesu pekee yake lakini pia kwenye Jina

Point ya saba
Jina linabeba sababu ya wewe kuja duniani? Kwa hiyo Jina linatambulisha kazi yako Katika ulimwengu wa Roho

Mathayo 1:21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
 
Point ya Tisa
Jina Lina uhai ndani yake , kama kuna uhai ndani ya Jina maana yake Jina Lina roho maana Vyote vinavyopokea uhai vinapokea kutoka kwenye roho

Ufunuo wa Yohana 3:1Na kwa malaika wa kanisa lililoko Sardi andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na hizo Roho saba za Mungu, na zile nyota saba. Nayajua matendo yako, ya kuwa una jina la kuwa hai, nawe umekufa.

Yohana 6:63 Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyowaambia ni roho, tena ni uzima.

Jina linao uwezo wa kubeba uzima au mauti
 
Utangulizi

Miaka ya 2000s kipindi kile cha wapenzi wa mpira wa Miguu tunakumbukumbu za mchezaji wa Brasil wakati huo alikuwa ni Ronaldo kwakweli alikuwa ni mchezaji mzuri Sana na kwakufanya vizuri kwa Brasil kulikuwa na mchango Mkubwa sana kutoka kwake

Matokeo Yake wazazi wengi wakawa wanawaita watoto majina la Ronaldo yakawa mengi Kwa watanzani na wapenzi wa mipira Kwa ujumla

Miaka ya 2010's Jina la Obama na watoto wake Sasha na Malia Obama yalikuwa majina maarufu Sana na wazazi wengi waliwapa watoto wao majina hayo.

Kitu ambacho nimekuwa najiuliza kwanini wazazi wamekuwa wakipenda kuwapa majina watoto wao majina hasa ya watu maarufu kama wasanii ,wanamichezo , wanasiasa etc, kuna Siri gani katika Jina la MTU ?

Siri zilizoko kwenye Jina
Kwenye maandiko matakatifu pia tumeona Mungu alipokuwa anawatumia watu wake katika kuwabariki au kuwapa nafasi ambayo ni kubwa ambayo Mungu alikusudia juu Yao aliwabadilishia majina

Mfano tunaona kwa Abraham's alibadilishiwa Jina na kuitwa Ibrahimu , Simon kuitwa Petro ,Saul kuitwa Paul , pia hata wakina Daniel pia walipokuwa babeli walipewa majina pia

Danieli 1:7 Mkuu wa matowashi akawapa majina; alimwita Danieli, Belteshaza; na Hanania akamwita Shadraka; na Mishaeli akamwita Meshaki; na Azaria akamwita Abednego.

Sababu na Siri zilizoko ndani ya Jina

Mithali 22:1 Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi;...

Point ya Kwanza
Biblia inaposema neno heri maana yake ni baraka, Neno Heri katika Luka 6:20 limetuka kama Blessed ambayo maana yake ni baraka au kubalikiwa,

Kwa hiyo ndani ya Jina kuna Baraka za ambaye anakupa Jina Kwa hiyo kama Jina umepewa na Mungu maana yake kuna Baraka za Mungu na kama umepewa na mababu kuna Baraka za mababu(mizimu)

Point ya Pili
Ndani ya Jina kuna Mali nyingi, kama Biblia inasema ni heri kuchagua Jina Jema kuliko Mali nyingi kihesabu kwamba Jina njema thamani Yake ni kubwa kuliko Mali nyingi Kwa hiyo Jina Jema ni zaidi ya Mali nyingi unaweza kupitia zile Hesabu greater than (x_\y)

Point ya Tatu
Kama Jina Jema ni zaidi ya Mali nyingi inamaana Jina Baya ni chini ya mali nyingi, Kwa hiyo ndani ya Jina kuna utajiri pia ndani ya Jina kuna umaskini , Kwa hiyo Jina linabeba umaskini au utajiri

Kuna watu ni maskini Kwa sababu Tu ya majina ambayo wameyabeba, kuna watu wanaitwa matatizo , shida etc sasa shida nawewe zitakuachaje

Point Nne

Jina limebeba utambulisho wa MTU jinsi ulivyo ni matokeo ya Jina lako
1 Samweli 25:25 .....Nabali; kwa maana kama lilivyo jina lake ndivyo alivyo yeye; jina lake ndilo Nabali, na upumbavu anao;..

Point ya Tano
Ndani ya Jina kuna tabia za MTU ndiyo maana kama umechagua Jina la MTU ambaye alikuwa ni mlevi au ambaye ameoa wanawake wengi ujue na hiyo tabia itaambana na Yule ambaye amerithi Jina

Waebrania 1:4 amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.

Point ya Sita
Jina linakupa kile ambacho umerithi ,Yesu alirithi Jina la Baba ambalo ni Yesu na aliporithi ilo Jina arithi na ubora ulioko ndani ya Jina Kwa hiyo ubora wa Yesu hauko Tu Kwa Yesu pekee yake lakini pia kwenye Jina

Point ya saba
Jina linabeba sababu ya wewe kuja duniani? Kwa hiyo Jina linatambulisha kazi yako Katika ulimwengu wa Roho

Mathayo 1:21Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
UBARIKIWE,

Mada na mahuburi Yako yanabariki wengi.

Aluta continua.
 
Kuna watu bado wanawarithisha majina watoto Kutoka kwa wazazi wao...

Majina hayo yanakuwa yamebeba Roho, kama za uchawi, majini na laana...

Wanakuwa maisha yanaanza kuwatesa kumbe jina linakuwa ndio halina heri yaani baraka...

Tuache kurithisha majina...
 
Majina ya kizungu ndiyo hayajabeba laana na roho za kichawi?
 
What if nikimrithisha jina la kadinali rugambwa?
 
Watu wanaaimini kuwapa watoto majina ya kizungu ndio hayatabeba laana hata kwenye bibilia Kuna majina yana laana pia cha msingi tunapotoa majina kwa watoto tuyatakase ili libaki jina Kama jina hata mwakifulefule Ni jina zuri Kama halijabeba laana ya mtu au tabia za mtu
 
Majina ya kizungu ndiyo hayajabeba laana na roho za kichawi?
Hatukasema kwamba majina ya wazungu hayajabeba maana ukisoma vizuri ujue ndani ya Jina kuna vitu vya msingi sababu ya kupewa Jina unampa mtoto kwa sababu kutunza ukoo maana yake unahamisha habari za aliyefariki Kwa mtoto kwa kumrithisha Jina ila kama Jina amepewa Kwa sababu za ki Mungu

hakuna shida hata kama ni la kabila Ila sio ra kurithi na kama Una rithi urithi Kwa watu ambao ni wazuri unarithi Jina la Babu ambaye alikuwa ni mganga ukiona mtoto anamatunguli ushishangae

Hatukasema majina ya kitanzania Yana shida hapana soma vizuri Tuu mkuu
 
Kuna watu bado wanawarithisha majina watoto Kutoka kwa wazazi wao...

Majina hayo yanakuwa yamebeba Roho, kama za uchawi, majini na laana...

Wanakuwa maisha yanaanza kuwatesa kumbe jina linakuwa ndio halina heri yaani baraka...

Tuache kurithisha majina...
Duuu kwaiyo ukimuita mtoto Ronaldo atarithi kucheza mpira?
 
Asilimia 70 ya majina tumelithi kwa wakoloni kulithi sio lazima uzaliwe na mwenye jina,majina ya kina Paul Ibrahim Muhammad yote yakurithi,majina yetu ya asili atuyataki unaweza ukawa na jina zuri matendo yako yakawa mabaya kikubwa future ya mtu mungu ndio anapanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom