Tupia imani ya kale uliyowahi kusikia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tupia imani ya kale uliyowahi kusikia

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Tetra, Oct 7, 2012.

 1. T

  Tetra JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna imani za kale zilizoaminiwa na jamii ktk makabila na tamaduni mbalimbali mfano
  1.UKIPALIWA KUNA MTU ANAKUSEMA
  2.JOGOO AKIWIKA USIKU UJUE KUNA MTU ATAKUFA
  3.MKONO WA KULIA UKIWASHA UTAPATA PESA
  tupia na wewe imani uliyowahi kusikia
   
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,767
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  jicho la kulia likiwasha ujue: Bahati,
  Jicho la kushoto liwasha: Bahati mbaya,
   
 3. B

  Bweri Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mama mjamzito akila mayai atajifungua mtoto hana nywele
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,742
  Likes Received: 695
  Trophy Points: 280
  Bundi akilia karibu na nyumbani ujue mchawi amekamilisha kazi ya kuwaloga, mtapoteza mtu, huenda ni wewe.
   
 5. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukilinyoosha kaburi kidole kitakatika.
   
 6. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,194
  Likes Received: 5,385
  Trophy Points: 280
  ukimuona albino unatemea mate kifuani mama yako asije kumzaa albino!
   
 7. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  ukimuoa mzungu, unajua atakua na mihela mingi...
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Ukipigwa na fagio hutaoa
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,802
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  ukimruka mtoto atakuwa mfupi!
   
 10. Boniphace17

  Boniphace17 Senior Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mguu ukiwasha;...safari
   
 11. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,695
  Likes Received: 1,120
  Trophy Points: 280
  Ukimuona Rais ujue ana akili nyingi
   
 12. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,095
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Yeah, hii kweli ni mila ya kale.
   
 13. M

  Mchaga HD Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimeipenda...
   
 14. fmlyimo

  fmlyimo JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  1. Ukila kwenye giza unakula na mashetani.
  2. Ukiomba chumvi usiku useme dawa ya mboga.
   
 15. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ukiona kimondo angani, make a wish to come true!
   
 16. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 4,667
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Wabaya: Mwanamke ukila kichwa na minofu mizuri ya samaki huzai
   
 17. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 4,667
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Waluguru: ukifanya tendo la ndoa na ukajamba kabla ya kumwaga utakuwa ******!
   
 18. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ukipata kazi mshahara wote wa kwanza bila kukata kitu wapelekee wazazi
  (kumbe lengo wajua unapokea sh ngapi nao wafaidi)
  ukipiga sana chafya mchana ujue mtapata wageni muhimu.
  ukibeba viazi vikuu kusafirisha mtapata ajali( kumbe ili usibebe viazi vyao)
   
 19. Manager

  Manager JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pele (Mbrazil) ni Mtanzania
  Mohammadi Ali ni Mtanzania (Hii ilikuwa ni miaka ya 84-85)
   
 20. D

  Dina JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,779
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kitovu cha mtoto kikikatika kisidondokee nanihino (hasa kwa mtoto wa kiume), vinginevyo mtoto atakuwa si rizki!

  True or not, nilihakikisha hakidondoki vibaya kwa mwanangu, kwa kuwa sikuwa na cha kupoteza kwa kuhakikisha hakidondokei nanihino.......
   
Loading...