Kitovu cha mtoto kikikatika kisidondokee nanihino (hasa kwa mtoto wa kiume), vinginevyo mtoto atakuwa si rizki!
True or not, nilihakikisha hakidondoki vibaya kwa mwanangu, kwa kuwa sikuwa na cha kupoteza kwa kuhakikisha hakidondokei nanihino.......
kaka umenichekesha sanaaa.....ma wife alinidokeza kuhusu hii nikambishia nikamtega, nikamwambia tuache kimdondokee mwanetu ili tuprove hiyo kitu akawa mbogo.....hadi leo umekua wimbo oooh mwanao akikua ntamwambia ulivotaka kumfanyiaaa roho ya ubaya basi mi nacheeeeka