Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,476
- 2,798
Kumbe Ni law siyo definition
Sijui ila ndo na i apply sana kwa sasa huku street...ha ha ha!Hiyo sio definition
Inertia is the ability of a body to resist motion.
Sijui nimepatia cjui nimekosea mana nikitambo sana
121.
Sikwel...Carbon 14, Is a scientific method used to determine date
Na sio object, ni imageHahahahaaaa mkuu umeikosea haiwezi kuwa "to magnifying" ni "to magnify "
Toa yakoSikwel...
Lugha ni sauti za nasibu zilizokubalika na jamii fulani kwa mawasilianoLugha ni sauti za nasibu...nilimeza kama ilivyo
Bk is recording of bussiness transaction in the book of accountBook- keeping is an art of recording bussiness transaction in term of money or money Worth.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arbitrary kwa kimombo. Ni ishu pana unayoweza kuiandikia kitabu.
Lugha ni sauti za nasibu....ikiwa na maana hakuna uhusiano wowote wa maneno ya lugha, matamshi yake na vitu vyenyewe.
Mfano neno simu.
Hakuna uhusiano wa neno simu na simu. Au neno mtu na mtu mwenyewe hakuna uhusiano. Jamii imekubaliana pasipo kikao chochote kutumia neno mtu kuwakilisha kiumbe cha kike au cha kiume kama wewe hapo.
Nasibu ni neno lenye maana ya jambo au kitu kinachotokea bila kupangwa.