Tupeni tathmini, upepo wa ushindi CHADEMA ukoje katika kata hizi?

Kaka sikia nikuambie CHADEMA ni Arusha mjini, Moshi Mjini,labda Mbeya Mjini kwine hakuna kitu. Wanataka kuwaaminisha wananchi tu lakini bado hawajajipanga. Wakipata ka kata kamoja basi kelele hizo.

NB: Hawawezi kuchangia thread hii maana iko direct.
unauhakika na unachosema wewe?wananchi hawaaminishi ila wanaona wenyewe.usitusemee.
 
bugarama mambo si mabaya isipokuwa huku anatakiwa babu atie tim japo nusu saa tu inatosha kuua tembo kwa ubua
 
CHADEMA imesimamisha wagombea BORA kwenye kata zote hizo,hadi sasa tuna 80% ya kata zote hizo
Kata za Arusha,Bangata na Daraja mbili wagombea wa CHADEMA wanasubiri kuapishwa tu.

Kaka Nanyaro, mie sina shaka na Arusha; wasiwasi wangu ni huko kwingine. Tunasikia CHADEMA wamesimamisha mwizi kata ya Mwawaza Shinyanga, bado hakuna jibu la maana kutoka kwa wahusika.

Arusha ina kata mbili, hali ikoje katika kata nyingine 27?
 
anael suala si cdm kujipanga ni sisi watanzania kuichoka ccm.
kama huko mara imetumika mil 300 kwa ajili ya kumng'oa mtu mmoja hiki chama si kimeoza?
 
juzi nilikwenda kupiga tafu kata ya magomeni-bagamoyo, hali kiukweli ni nzuri na cdm itafanya mshangao kwa kata hiyo baada ya kuichukua. na leo makamanda wanazidi kwenda huko kumpiga tafu kamanda wa operesheni hiyo.
 
Mbona CCM ina wezi wengi na hakuna majibu ya maana. Umeshawahi kujiuliza hilo????
 
anael suala si cdm kujipanga ni sisi watanzania kuichoka ccm.
kama huko mara imetumika mil 300 kwa ajili ya kumng'oa mtu mmoja hiki chama si kimeoza?

Yaani ni ujinga 300ml kwa ajili ya Makongoro wakati watu hawana maji, umeme, barababa, madawa na labda kutokea dunia kuumbwa na Manani Halmashauri ya mji huo haijawahi kupeleka fedha kubwa kama hiyo kwa miradi ya maendeleo!!!!

Viongozi wote waliofanya hayo akili yao ina utapiamlo.
 
juzi nilikwenda kupiga tafu kata ya magomeni-bagamoyo, hali kiukweli ni nzuri na cdm itafanya mshangao kwa kata hiyo baada ya kuichukua. na leo makamanda wanazidi kwenda huko kumpiga tafu kamanda wa operesheni hiyo.

Kaka pamoja sana. Hizi ndizo kata ambazo CHADEMA kinatakiwa kupeleka jeshi la kitaifa, sio Daraja Mbili kila siku ambapo wananchi ni waelewa tayari. Vita akili!
 
Kaka sikia nikuambie CHADEMA ni Arusha mjini, Moshi Mjini,labda Mbeya Mjini kwine hakuna kitu. Wanataka kuwaaminisha wananchi tu lakini bado hawajajipanga. Wakipata ka kata kamoja basi kelele hizo.

NB: Hawawezi kuchangia thread hii maana iko direct.
Naona umeshakunywa dengelua
 
1.Bangata-Arusha
2.Darajambili-Arusha
3.Msalato-Dodoma
4.Mpwapwa-Mpwapwa
5.Magomeni-Bagamoyo
6.Lwenzera-Geita
7.Bugarama-Kahama
8.Mwawaza-Shinyanga
9.Vugiri-Korogwe
10.Tamsta-Lushoto
11.Makata-Liwale
12.Mneromiembeni-Nachingwea
13.Mlangali-Ludewa
14.Luwumbu-Makete
15.Mpepai-Mbinga
16.Mletele-Songea
17.Ipole-Sikonge
18.Kiloleli-Sikonge
19.Miyenze-Tabora
20.Karitu-Nzega
21.Mpapa-Mbozi
22.Myovizi-Mbozi
23.Lubili-Misungwi
24.Kilema-Kusini-Moshi
25.Nanjarou/Reha-Rombo
26.Mtibwa-Mvomero
27.Mahenge-Ulanga
28.Likokona-Nanyumbu
29.Kitangiri-Newala

Ningefurahi kujua kama CHADEMA kimesimamisha wagombea katika kata zote, na kama ni hivyo, tupatiwe orodha ya wagombea. Je CDM makao makuu wametuma timu za kutia nguvu katika kila kata?

Kata ya Moyavizi Mbozi Mashariki tumeichukua kwa aslimia 200%
 
1-29 ni CDM

Similar Discussions

Back
Top Bottom