Kata hizi kabla zikuwa chama gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kata hizi kabla zikuwa chama gani?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by dhahabuinang'aa, Oct 28, 2012.

 1. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu tuwekane sawa kwa wanaoelewa hizi kata hapo awali zilikuwa na madiwa ni wa chama gani tuanze ya 1 mpaka ya 29.
  ili baadae tujue nani kavuna kwa mwenzake.
  haya wana JF tuanze.
  1.Bangata-Arusha
  2.Darajambili-Arusha
  3.Msalato-Dodoma
  4.Mpwapwa-Mpwapwa
  5.Magomeni-Bagamoyo
  6.Lwenzera-Geita
  7.Bugarama-Kahama
  8.Mwawaza-Shinyanga
  9.Vugiri-Korogwe
  10.Tamsta-Lushoto
  11.Makata-Liwale
  12.Mneromiembeni-Nachingwea
  13.Mlangali-Ludewa
  14.Luwumbu-Makete
  15.Mpepai-Mbinga
  16.Mletele-Songea
  17.Ipole-Sikonge
  18.Kiloleli-Sikonge
  19.Miyenze-Tabora
  20.Karitu-Nzega
  21.Mpapa-Mbozi
  22.Myovizi-Mbozi
  23.Lubili-Misungwi
  24.Kilema-Kusini-Moshi
  25.Nanjarou/Reha-Rombo
  26.Mtibwa-Mvomero
  27.Mahenge-Ulanga
  28.Likokona-Nanyumbu
  29.Kitangiri-Newala
   
 2. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Subiri utapata majibu kwa wale wanaojua
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  zote nyinyiem.:becky:
   
 4. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,715
  Likes Received: 17,762
  Trophy Points: 280
  Ivi hiyo inaweza kweli kubadili matokeo yatakayo tangazwa sio mda
   
 5. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  matokeo yatabaki palepale ila itatusaidia kujua nani kavuna na nani kapoteza
  na itatupa picha ya mabadiliko kwa wananchi.
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwa sasa mimi nasubiri matokeo tu nione namna magamba yalivyogaragazwa.
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ile ya Shinyanga hikuwa ya chadema kweli..
   
 8. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  bugarama-kahama, ilikuwa ccm
   
 9. C

  Concrete JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Zote zilikuwa chini ya CCM.
   
 10. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika hizo ambayo nina uhakika ilikuwa ya Cdm,ni ya Mtibwa tu!nyingine zote za kina Lowassa!
   
 11. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  una uhakika au maadam una vidole unaandika tu??
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,053
  Likes Received: 3,083
  Trophy Points: 280
  zile mbili za Sikonge (kiloleli,ipole) zilikuwa chini ya chama cha mafisadi
   
 13. B

  Bukutonaga JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu katika hizi kata 29 ninachofahamu CCM walikuwa na kata 28 na CDM 1 ile ya mtibwa -mvomero lakini kwingine ni magamba sasa ngoja tuone matunda ya M4C leo ndo tunaanza kupata mwanga wa Tanzania tuitakayo.
   
 14. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,033
  Likes Received: 8,523
  Trophy Points: 280
  hao madiwani walikuaje hadi uitwe uchaguzi tena?walistaafu au?
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Wengi wao walifariki...
   
 16. N

  Ngoso JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Naomba mnijuze,je uchaguzi huu utahusisha zile Kata tano za A.Town au serikari haikupata pesa au ndio mbinu za kulinda umeya Arusha mjini
   
 17. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,363
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Kweli huu uchaguzi utakuwa ni kipimo cha mwitikio wa M4C and the outcome might lead us to the new era.
   
 18. G

  Getwa Anicet Ally Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  There you are brother! Na aliyekuwa diwani wa hiyo kata aliuawa kwa kuchomwa kisu, nyingine zote zilikuwa na magamba!
   
 19. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli mnajisahau kuwa arusha mlifukuza madiwani alafu mnasema kata zote zilikua ccm kupenda kubaya
   
 20. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Ni bora uwe kimya ili ufiche upumbavu wako!
   
Loading...