OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,242
- 103,943
Weka za mchezo
Weka za mchezo
Wakuu,Habari za leo...nawezaje kupata soko la kuuza miti ya milingoti(nguzo)Ina umri wa miaka 9,jumla ya miti ni 4,000 au zaidi.Shamba lipo Njombe,Kifanya.Kwa mawasiliano nipigie 0767320000.Hapo ni miti mingapi kwa kila acre?
KivipiHizi biashara za paukwa pakawa huwa mimi zinanikata stimu.