Tupeane uzoefu...

Tupeane uzoefu...

Wanajamvi habari za jioni wakuu tupeane mbinu "hivi mwanamke akijifungua inatumia mda gani mpaka asex mana wife kajifungua ndo wiki inakata hvi lakini kwa mwanaume rijali inakuwa ngumu kuvumilia cjui nitumie njia gani ushauri wenu wakuu"
Daah mzee ebu mpe mda kidogo siku 42 kitaalamu na kiafya unaruhusiwa hapo
 
Back
Top Bottom