tupeane possible za kesho form 4

tupeane possible za kesho form 4

Hivi humu ndani kumbe kuna watoto wa sekondari, ndio maana watu wanapoomba ushauri wa ndoa wanapewa majibu ya ajabu ajabu kumbe kuna watoto, aisee
 
Nafananisha na Chuo Kikuu kumwambia Lecturer awape U.E Area of concetration anakwambia usome alipoanza kufundisha hadi alipoishia, nawe kijana soma kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne majibu yamo.
 
Back
Top Bottom