KICHINJIO 15
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 823
- 632
Tuliosoma shule za vijijini kipindi hicho tulikuwa tunasikia watu walipata pepa mitihani imeshakwisha.Haaaa Sema sikuzitegemea hizo tu, ningesha faint nahisi.
Nilikuwa sitaki hata kuzisikia maana walimu wetu walikuwa wametujengea kujiamini.