dogoodesign
Member
- Oct 21, 2019
- 41
- 21
Mimi ni kijana wa Kitanzania niliyemaliza elimu ya Chuo Kikuu. Fani yangu ni Information Communication and Technology with Business lakini bado sina ajira.
Nimeleta uzi huu ili tupeane michongo, najua kuna wana kibao wana michongo na wengine hawana. Ingia hapa leta mchongo na sisi tusanue kama nyie.
Nimeleta uzi huu ili tupeane michongo, najua kuna wana kibao wana michongo na wengine hawana. Ingia hapa leta mchongo na sisi tusanue kama nyie.