Tupeane michongo ya ajira

dogoodesign

Member
Oct 21, 2019
41
21
Mimi ni kijana wa Kitanzania niliyemaliza elimu ya Chuo Kikuu. Fani yangu ni Information Communication and Technology with Business lakini bado sina ajira.

Nimeleta uzi huu ili tupeane michongo, najua kuna wana kibao wana michongo na wengine hawana. Ingia hapa leta mchongo na sisi tusanue kama nyie.
 
dogoodesign Anza na hii

Screenshot_2019-10-23-19-15-43-1.jpeg
Screenshot_2019-10-23-19-15-48-1.jpeg
 
Mimi ni kijana wa kitanzania niliyemaliza elimu ya Chuo Kikuu. Fani yangu ni Information Communication and Technology with Business lakini bado sina ajira.

Nimeleta uzi huu ili tupeane michongo, najua kuna wana kibao wana michongo na wengine hawana. Ingia hapa leta mchongo na sisi tusanue kama nyie.
Umesoma IT, do you have any project related to programming? Do you have any app? Do you have github account?
 
Back
Top Bottom