Tupeane maujuzi jinsi ya kupata tenda serikalini!

Hata mimi ndio nilikuwa nawaza hivyo mkuu.
Mbongo hajawahi kutenda haki kwa kuufatisha mfumo hata siku moja.
 
mkuu umeelezea vyema .hivi kupata tenda private sector naon wana vigezo vingi kuliko government ....mfano kweny mining companies? .

Maan nikipita ''tenda mpya'' website naon vigezo vigumu
 
Nataka tenda ya usafi wa barabara nna kila kitu kasoro konektion tuuu
Sumajkt washaingia huku ..... Kibaya experience na vifaa vinatukosesha tenda ...subiri watangaze manispaa , usisite kwenda kuuliza au kupitia taneps kila siku
 
Ukiomba private sector utapata, ila kwa government sector kuna vigezo vingi haijalishi ni tenda ya usafi
Mimi nilifikiri private sector ndio ina vigezo vingi na kujuana kwa asilimia kubwa sana...

Government vigezo ni documentation ,experience na financial capability kwa NCB , na CUIS ni bei tu kupitia Taneps.

Nafikiria kudeal na private ila nikisoma bidding docs zao naona mambo mengi sana ,hasa lines of credit ,wakati credit exposure yangu ni ndogo nategemea internal financing ya mfukoni ya kula....
 
Kwa wale wajuzi wa mambo tupeane maujuzi ya jinsi ya kupata tenda ndogondogo na kubwa kubwa mfano tenda za ujenzi wa majengo mbalimbali ya serikali kama zahanati katika halmashauri za wilaya zetu.
We mzee eti wanasem siku hizi bila lifti haufiki.
 
Kwa kampuni za nje zilizojisajili nchini kwao zinawezaje kupata tenda za ndani kwa mfano kuwa vendor wa sugar mills parts na agricultural machines?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…