Tupeane maujuzi jinsi ya kupata tenda serikalini!

careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
893
1,000
Kwa wale wajuzi wa mambo tupeane maujuzi ya jinsi ya kupata tenda ndogondogo na kubwa kubwa mfano tenda za ujenzi wa majengo mbalimbali ya serikali kama zahanati katika halmashauri za wilaya zetu.
 
Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
9,456
2,000
Network Network network

Ndio kila kitu mfumo wa TanePs na GPSA ni mifumo tu mwisho wa siku nyuma ya hiyo mifumo wapo watu.

Kujua utamu wa ngoma ingia ucheze.

Je kampuni yako umeshaisajiri ? Ina muda gani ? Imeshapewa vibali vya GPSA (Vibali vya GPSA hutoka Mara 2 kwa mwaka )..

Kama majibu ya maswali yote hapo juu ni ndio uko sawa kuanza hustles , lakini nakushauri ungeanza na hata sector binafsi. Huko hawahitaji mambo ya GPSA au TanePs na mavibali Yao.

Wewe ni kuwa na Brela incorporation Certificate, Tin number , Bussiness licence , tax clearance na EFD machine tayari tenda unaanza kupiga. Ila huku serikalini daah Mambo mengi muda mchache.

Uliza swali lolote pm au hapa ujibiwe.
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,216
2,000
sajili biashara yako kisha jiunge na mtandao unaitwa Taneps. huko kuna tenda zote za serikali.

Kama una muda nitafute nikuelekeze vizuri.
Hivi Taneps kirefu chake ni nini,

Kwa swali la mdau ili apate tender naweka vichache vingine utaongezea
Awe amesajili biashara
Leseni ya biashara
TIN

Kama ni mkandarasi
Lazima uwe umesajiliwa na bodi ya wakandarasi
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,216
2,000
Network Network network

Ndio kila kitu mfumo wa TanePs na GPSA ni mifumo tu mwisho wa siku nyuma ya hiyo mifumo wapo watu.

Kujua utamu wa ngoma ingia ucheze.

Je kampuni yako umeshaisajiri ? Ina muda gani ? Imeshapewa vibali vya GPSA (Vibali vya GPSA hutoka Mara 2 kwa mwaka )..

Kama majibu ya maswali yote hapo juu ni ndio uko sawa kuanza hustles , lakini nakushauri ungeanza na hata sector binafsi. Huko hawahitaji mambo ya GPSA au TanePs na mavibali Yao.

Wewe ni kuwa na Brela incorporation Certificate, Tin number , Bussiness licence , tax clearance na EFD machine tayari tenda unaanza kupiga. Ila huku serikalini daah Mambo mengi muda mchache.

Uliza swali lolote pm au hapa ujibiwe.
Umeiva mgavi mwenzangu hongera, umemaliza upo juu, msaidie kama ni engineer afanyaje pia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom