Tuongee kuhusu tenda mbalimbali za serikali au sekta binafsi

YHK geneous

Senior Member
Jun 24, 2017
188
120
Habari wana jukwaa.
Vile ambavyo jukwaa hili limekuwa likijulikana kama jukwa la tenda na ajira, Maranyingi huwa huwa zinatangazwa nafasi za ajira mbalimbali. Lakini leo nawaomba tujumuike pamoja kujadili na kuchambua fursa mbali za tenda au zabuni.
Tenda au zabuninyingi sana zimekuwa zinatangazwa kuanzia serikalini mpaka sekta binafsi, changamoto kubwa ni namna gani mtu au watu flani wanaweza wakata tenda hizo zinazotangazwa. Kwa yeyote mwenye kujua namna mbalimbali za kufanya ili mtu aweze kushinda zabuni hizo.
Je serikali au taasisi hizo binafsi zinaangalia vigezo gani katika utoaji wa hizo zabuni?

Je mtu binafsi kama mimi nifanyeje ili niweze kupata tenda au zabuni husika???...

Karibuni sana...
 
kama una mtaji na biashara unafanya naweza kukuandalia tender documents uweze kushindana na watu wengine zipo zile za GPSA na national shoping kama hujajiunga . GPSA naweza kukupa msaada pia. kila mmoja anaweza kupata tender ya kusambaza bidhaa ama kutoa huduma karibu

Tafadhali nisaidie mkuu...
 
Asantee sana...
 
Kuna tenda hasa hizi pre-qualification ambazo unajaza online wanakwambia uweke uthibitisho kama unatii sheria za ajira nchi n, ni vithibisho gani unaweka?
 
Jinsi ya kuwa mwanatenda
Jinsi ya kuandaa documents
Jinsi ya kubid
Jinsi ya kupambana n kupata tender...
kuwa mwanatenda unajisajili taneps kwa tsh 30,000 kunadaa documents ni rahisi sana kama unahitaji nikupigie nikuelekeze ama kama una muda, kubidi ndio huko huko kundaa hizo docs kupambana ni mbinu za nje ya sheria ambazo siwezi kuziweka hadharani. Uko wapi mkuu naweza kukusaidia hizo mambo ukipata tender unanipa kamisheni yangu tunaendelea na mambo mengine
 
Npoo Dar es salaam... mbagala area!...
 
kama una mtaji na biashara unafanya naweza kukuandalia tender documents uweze kushindana na watu wengine zipo zile za GPSA na national shoping kama hujajiunga . GPSA naweza kukupa msaada pia. kila mmoja anaweza kupata tender ya kusambaza bidhaa ama kutoa huduma karibu

Mkuuu natamani kujifunza zaid
 
Jamaa kauliza swali na majibu ni pm, na hili ni jukwaa kwanini msingetafutana huko pm..

Knowledge is free kwa watu weupe, mweusi mweusi tuu mpaka roho yake
 
kama una mtaji na biashara unafanya naweza kukuandalia tender documents uweze kushindana na watu wengine zipo zile za GPSA na national shoping kama hujajiunga . GPSA naweza kukupa msaada pia. kila mmoja anaweza kupata tender ya kusambaza bidhaa ama kutoa huduma karibu
mkuu, nakutafuta
 
Back
Top Bottom