kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,275
- 1,698
Ok, tunashukuru kwa utalaamu wako.Safi sana... VLOOKUP hata kama una bidhaa 1000 unaweza Jua bei ya kila kitu au information yeyote ndani ya dakika moja!
Sasa tukija kwenye matokeo ya mtihani (tuchukulie mtihani wa mwisho wa muhula), nataka kujua idadi ya "A", kwa kila somo,idadi ya " B" kwa kila somo,idadi ya "C" kwa kila somo, idadi ya "D" kwa kila somo,idadi ya "F" kwa kila somo; jumla ya masomo ni 9. Je , nawezaje kuifanya kazi hii kwa wakati mmoja au na kwa formula moja?
Nitashukuru kwa majibu yako.