Tupeane maujanja ya Excel

Utakuwa umechanganya madawa!! Hiyo inayozungumzia ni Mailing & Merge.
Ms Word ndiyo inahusika kwenye kazi hiyo siyo excel

Si kweli kwamba MS word tu ndio inaeza kutuma email. Macros kwenye spreadsheet inakuwezesha kuset mails na kuzituma kwa watu unaotaka. Its a matter of setting up your folder links, and email address and pressing button 'send'. Coding inahusika.
 
Mkuu nakaupongeza sana kwa kuanzisha kundi hili,nimekuwa natafuta kinda la namna hii kwa muda mrefu.kinatia excel kwa kiasi Fulani katika kazi zangu.Nina kiu ya kijifunza kutenzeneza matokeo ya wanafunzi wangu kwa mtundo wa NECTA.Nina weza kubadili Maksi tarakimu kuwa Hereford (grade).vitu vinavyo nishinda na Naomba mnifundishe ni namna ya kuwa piga penalt wanafunzi wanaofeli masomo ya msingi.na kuweka absent kwa Yule ambaye hakufanya mtihani.asente
Kuweka grade tumia =IF(D2>=81,"A",IF(D2>=61,"B",IF(D2>=41,"C",IF(D2>=21,"D",IF(D2>=0,"F")))))

D2 ni mfano wa cell inayokaa score/marks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye kufahamu anisaidie
1.Formula ya ku calculate umri wa mtu nikishaingiza tarehe ya kuzaliwa
2.kupanga kupanga mtu wa kwanza hadi wa mwisho au top ten kutoka sheets tofauti
 
Mwenye kufahamu anisaidie
1.Formula ya ku calculate umri wa mtu nikishaingiza tarehe ya kuzaliwa
2.kupanga kupanga mtu wa kwanza hadi wa mwisho au top ten kutoka sheets tofauti
Tumia fuction ya yearfrac
=YEARFRAC(D5,D6)
Where D5 ni start date(birth date) na D6 ni end date (mfano kama ni end date ni leo basi weka =TODAY() kwenye D6)

Ili kuepuka decimal kwenye age unaweza ukaandika =CEILING(YEARFRAC(D5,D6),1)

Jaribu hiyo tuone

swali la pili fanya hivi

Ziite data za sheet zoote unazotaka kuzipanga zikae kwenye sheet moja kisha uzipange kawaida

Mfano kama unataka data ya sheet2 mfano G10 ikae kwenye sheet1 utaandika =(Sheet2!G10)

Ukimaliza kuziita zirank kwa formula hii
=RANK(G9,G9:G19,0) ambapo D5 ni data ambayo unataka kuipanga, G9:G19 ni range ya data zako na 0 order ya kuzipanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia fuction ya yearfrac
=YEARFRAC(D5,D6)
Where D5 ni start date(birth date) na D6 ni end date (mfano kama ni end date ni leo basi weka =TODAY() kwenye D6)

Ili kuepuka decimal kwenye age unaweza ukaandika =CEILING(YEARFRAC(D5,D6),1)

Jaribu hiyo tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
Au unaweza ukatumia function ya dateif kwa kuset year as unit
Eg
=DATEDIF(B5,C5,"y") ambapo B5 ni start date na C5 ni end date na "y" ni no of complete year amabapo itasaidia kuignore miezi na siku zilizobakia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia fuction ya yearfrac
=YEARFRAC(D5,D6)
Where D5 ni start date(birth date) na D6 ni end date (mfano kama ni end date ni leo basi weka =TODAY() kwenye D6)

Ili kuepuka decimal kwenye age unaweza ukaandika =CEILING(YEARFRAC(D5,D6),1)

Jaribu hiyo tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani nimefanikiwa hiyo.
Ngoja nijaribu na ku rank
 
Back
Top Bottom