Tupeane habari za mvua

Tupeane habari za mvua

tanga ina laana kidogo, let me put that way. Imepiga lakini after one hr or less ikakata na jua likatoka kama kichaa! Dar naona imepiga mpaka mida ya jioni! Good ingawa Dar hamlimi 🙄 🙄 🙄
 
Kwetu ndio hali halisi kwa leo
IMG_20230319_164147_4.jpg
IMG_20230319_171457_5.jpg
 
Back
Top Bottom