Tupeane habari za mvua

Tupeane habari za mvua

Kipindi Cha kilimo Cha watotoo..

Huku kwetu mpk saa hii 17:25 inamwagika haswaa..
 
Leo Baada ya miezi 3 imenyesha mvua kubwa kiasi Huku pwani ya Tanga na Dar.

Kwenye maeneo yako vipi, neema hii imefika?
Ni muhimu maana bei za vyakula zinategemea mvua. Ikianza kunyesha na wakulima wakapanda bei zinatelemka maana watu wanatoa stock walizozificha.
Hapa nilipo inanyesha mvua ya magoli, Yanga anamsulubu Mwarabu koko
 
Leo Baada ya miezi 3 imenyesha mvua kubwa kiasi Huku pwani ya Tanga na Dar.

Kwenye maeneo yako vipi, neema hii imefika?
Ni muhimu maana bei za vyakula zinategemea mvua. Ikianza kunyesha na wakulima wakapanda bei zinatelemka maana watu wanatoa stock walizozificha.
Tupo hapa uwanja wa mkapa hali siyo mbaya uwanja umejaa maji wataalamu wetu wanajitahid kuukausha na tekinolojia ya kudeki wakati yanga wakisubiri kuminyana na us Monastir
 
Leo Baada ya miezi 3 imenyesha mvua kubwa kiasi Huku pwani ya Tanga na Dar.

Kwenye maeneo yako vipi, neema hii imefika?
Ni muhimu maana bei za vyakula zinategemea mvua. Ikianza kunyesha na wakulima wakapanda bei zinatelemka maana watu wanatoa stock walizozificha.
Sukumaland shinyanha bado kukavu, hakuna mvua wala manyunyu
 
Back
Top Bottom