Tupeane habari za mvua

Tupeane habari za mvua

Kweli imetandika vilivyo, hata hivyo joto lilikuwa kali sana, tulishindwa hata kutimiza haki zetu za msingi as hatuna hata feni za kupepea.

Side effect yake ni miundombinu kubovuka, ila ni heri tu.
Huishiwagi vituko mzee
 
Nimeanza nini? Alafu unasema Arusha mvua zimenyesha alhamisi,nimemuuliza Depal kanipa majibu fofauti. Au wewe upo Arusha ya kibada?
Inategemea.
Mimi ninaishi kwenye ukanda wa Neema, maji, kijani majira yote na mvua hunyesha hata kiangazi ikiamua.

Arusha kuna ukanda huwa mgumu sana kupata mvua.
Ikinyesha hadi sehemu hiyo ndio watu wakiri sasa mvua imeanza rasmi.
 
Back
Top Bottom