Tupe uzoefu wako!!!!

Tupe uzoefu wako!!!!

Bi dada unaongea tu,
Mimi nilishapeleka ubuyu umeandikwa wa zanzibar kabisa nikijua leo ntalala kwa amani nikaambiwa sitaki huu nataka unaouzwa dukani kwa fulani! Huyo fulani simjui na nnajua mke wangu kuelekeza ni mzito....first month

Sometimes nahisi mnatukomoa. Nunueni tu ubuyu wenu wenyewe.

!

dah! mi ngoja nisiongee lolote labda mpaka nipate kizygote nione hali itavokuwa. inawezekana ni kweli mnakomolewa au inawezekana ile hali wanajisikia ndio kisababishi
 
mwenzio alikua haleti hata huo wa zanzibar,na dada hakua selective kua hadi utoke sehem flani,ye kama umeletwa na mumewe tu baas roho yake kwaatu
Bi
dada unaongea tu,
Mimi nilishapeleka ubuyu umeandikwa wa zanzibar kabisa nikijua leo
ntalala kwa amani nikaambiwa sitaki huu nataka unaouzwa dukani kwa
fulani! Huyo fulani simjui na nnajua mke wangu kuelekeza ni
mzito....first month

Sometimes nahisi mnatukomoa. Nunueni tu ubuyu wenu wenyewe.

Kiukweli nachukia sana ubuyu!
 
Nashukuru Mungu kampeni dhidi ya ukatili wa kijinsia imepamba moto,pengine itasaidia kufuta kabisa ukatili dhidi ya wanawake na watoto.Mie nachukia sana ukatili dhidi ya mtu yeyote bila kujali jinsia.

Kuna huu ukatili kwa mwanamke kipindi cha ujauzito: kuna wanawake wengi wamepitia ukatili huu kwa namna tofauti tofauti..(kutokumjali mjamzito ni ukatili wa hali ya juu sana)

Dada yangu mie alipobeba ujauzito wake wa pili shemeji yetu alibadilika sana,kwanza akwa mkali kama pilipili kichaa,dada akimuomba amletee ukwaju anakataa,ubuyu hataki ,hata zile ice cream za bakhresa akawa mbishi kuleta.Tukimuuliza kwa nini anamfanyia hivyo mwenzie anasema dada anatumia mimba kumpanda kichwani.

Hakuna siku iliniuma sana kama ile dada alipomfumania shemeji akiwa restaurant ya jirani na nyumbani kwao,mida ya saa moja jioni,yuko na mwanamke wanalishana kwa midomo,cha ajabu shemeji wala hakushtuka,ndo kwaanza akaanza kumgombeza dada kafata nini hapo,dada alipoanza kugomba pale aliambulia makofi na mateke ya kumtosha tu hadi akazimia.

Alizinduka baada ya masaa matatu akiwa hospitali..na shemeji hakuonekana nyumbani wiki nzima.
Ilibidi dada arudi nyumbani..mpaka amejifungua,hataki tena kurudi kwa shemeji.Wakina mama wanamshauri arudi tu kwa mumewe maana huyo ni mumewe.
Baada ya Kujifungua Shemeji anakuja nyumbani kila jioni..na zawadi nyingi nyingi tu.

Wewe,jirani,ndugu jamaa yako,je alishawahi kupitia ukatili wowote au changamoto zozote kutoka kwa mwenzi wake kipindi cha ujauzito? alikabiliana nazo vipi? baada ya ukatili huo ndoa ama mahusiano yaliendelea?

cc😡Kaizer ladyfurahia Passion Lady Lady Docto Arushaone Erickb52 Sungura2013 Mapi amu Husninyo Heaven on Earth DEMBA miss strong Baba V Mentor Excel Mamndenyi Ablessed Kongosho Rich woman kiwatengu shansarie miss chagga et al

hapa suluhu ni moja tu wanawake jtahdini msitumie kigezo cha mimba kuwapelekesha wanaume,na wao ni binadamu kwaio ikifika hatua usumbufu umezidi wanachoka,pia wanaume tujitahd kusoma saikolojia za wanawake zetu hasa kipindi cha ujauzito,kwa kufanya hvyo tutafahamu jinsi ya kukaa nao
 
Last edited by a moderator:
wengi hawaelewi...wanaona wanapandwa kichwani tu
Hakuna kipindi kigumu
wanawake wanapitia ni kipindi cha ujauzito, ukichunguza sana kipindi
hiki akina baba huwa ndio kasi ya nyumba ndgo inaongezeka sana, hawajali
tena familia zao ukiuliza sababu ohhh, mke wangu hataki kuniona,
ananichukia na sababu nyingine nyingi lakini hazina ukweli wowote. Kwa
mwanaume anayejitambua na kutambua thamani ya mke ni kipindi ambacho
anatakiwa awekaribu mno na familia yake. Akina baba amkeni
jamani!
 
dah! mi ngoja nisiongee lolote labda mpaka nipate kizygote nione hali itavokuwa. inawezekana ni kweli mnakomolewa au inawezekana ile hali wanajisikia ndio kisababishi
Sometimes akiumia sana anakasirika vipi kama ni raha mlipata wote wakati wa kuipata hiyo mimba halafu maumivu apate peke yake. Sasa utapigiwa simu kila saa(I don't mind na huwa nabembeleza). Ila akianza kukulaumu kwa makosa madogo madogo ambayo siku zote alikuwa hata haulizi. Hakuna tena kukaa na washikaji wakati zamani alikuwa anaelewa sana tu. Hata ukienda home kwenyewe anapiga stori na mashosti waliomtembelea! Unawaza sa na mimi si ningekaa na washkaji kidogo tu?
Haya mapenzi ya kizungu sometimes sio issue wala nn
 
Huu ni ukatili wa hali ya juu na huyo mwanaume ni muuaji asijifanye na hizo zawadi zake kumdanganya mkewe amuone kuwa ni mtu mzuri sana. Kama alishindwa kununua ubuyu hizo zingine analeta kwa mapenzi yepi? Achukuliwe hatua huyo kwani criminal offences has no limitation of time.
 
Nashukuru Mungu kampeni dhidi ya ukatili wa kijinsia imepamba moto,pengine itasaidia kufuta kabisa ukatili dhidi ya wanawake na watoto.Mie nachukia sana ukatili dhidi ya mtu yeyote bila kujali jinsia.

Kuna huu ukatili kwa mwanamke kipindi cha ujauzito: kuna wanawake wengi wamepitia ukatili huu kwa namna tofauti tofauti..(kutokumjali mjamzito ni ukatili wa hali ya juu sana)

Hebu acha kujadili maisha ya ndoa za watu kwanza,wewe umeolewa? au ndio unaathirika na migogoro ya ndoa ya dada?

Btw: sikubaliani na vitendo vya unyay

Dada yangu mie alipobeba ujauzito wake wa pili shemeji yetu alibadilika sana,kwanza akwa mkali kama pilipili kichaa,dada akimuomba amletee ukwaju anakataa,ubuyu hataki ,hata zile ice cream za bakhresa akawa mbishi kuleta.Tukimuuliza kwa nini anamfanyia hivyo mwenzie anasema dada anatumia mimba kumpanda kichwani.

Hakuna siku iliniuma sana kama ile dada alipomfumania shemeji akiwa restaurant ya jirani na nyumbani kwao,mida ya saa moja jioni,yuko na mwanamke wanalishana kwa midomo,cha ajabu shemeji wala hakushtuka,ndo kwaanza akaanza kumgombeza dada kafata nini hapo,dada alipoanza kugomba pale aliambulia makofi na mateke ya kumtosha tu hadi akazimia.

Alizinduka baada ya masaa matatu akiwa hospitali..na shemeji hakuonekana nyumbani wiki nzima.
Ilibidi dada arudi nyumbani..mpaka amejifungua,hataki tena kurudi kwa shemeji.Wakina mama wanamshauri arudi tu kwa mumewe maana huyo ni mumewe.
Baada ya Kujifungua Shemeji anakuja nyumbani kila jioni..na zawadi nyingi nyingi tu.

Wewe,jirani,ndugu jamaa yako,je alishawahi kupitia ukatili wowote au changamoto zozote kutoka kwa mwenzi wake kipindi cha ujauzito? alikabiliana nazo vipi? baada ya ukatili huo ndoa ama mahusiano yaliendelea?

cc😡Kaizer ladyfurahia Passion Lady Lady Docto Arushaone Erickb52 Sungura2013 Mapi amu Husninyo Heaven on Earth DEMBA miss strong Baba V Mentor Excel Mamndenyi Ablessed Kongosho Rich woman kiwatengu shansarie miss chagga et al

Wewe umeolewa? au ndo bado unaishi kwa dada? anyway.huyo jamaa hamtendei haki mkewe japokuwa mambo ya ndoa ni zaidi uyaonavyo kwa nje,pole kwa dada...

Lakini ifike mahala tuache hii tabia ya kujadili ndoa za watu,mambo ya wanandoa hayakuhusu hata kama ni ndugu yako,
 
sasa anashinikizwa arudi..na wanaomshinikiza wanadai ile mimba ilimfanya shemeji awe hivo,na wanasema wanaume wengine hua hata wanatapika...sasa mie sielewi kabisa..yaani sielewi
huyo hafai. bora dada yako alivogoma kurudi
 
kwani ukivumilia,ilhali unajua kua ni kipindi cha mpito tuu hautaeleweka kwa rafiki zako?

Sometimes akiumia sana anakasirika vipi kama ni raha mlipata wote
wakati wa kuipata hiyo mimba halafu maumivu apate peke yake. Sasa
utapigiwa simu kila saa(I don't mind na huwa nabembeleza). Ila akianza
kukulaumu kwa makosa madogo madogo ambayo siku zote alikuwa hata
haulizi. Hakuna tena kukaa na washikaji wakati zamani alikuwa anaelewa
sana tu. Hata ukienda home kwenyewe anapiga stori na mashosti
waliomtembelea! Unawaza sa na mimi si ningekaa na washkaji kidogo tu?
Haya mapenzi ya kizungu sometimes sio issue wala
nn
 
mie pia sikupenda kabisa...plus kufumaniwa,hilo anajifanya kalisahau
Huu ni ukatili wa
hali ya juu na huyo mwanaume ni muuaji asijifanye na hizo zawadi zake
kumdanganya mkewe amuone kuwa ni mtu mzuri sana. Kama alishindwa kununua
ubuyu hizo zingine analeta kwa mapenzi yepi? Achukuliwe hatua huyo
kwani criminal offences has no limitation of time.
 
Sometimes akiumia sana anakasirika vipi kama ni raha mlipata wote wakati wa kuipata hiyo mimba halafu maumivu apate peke yake. Sasa utapigiwa simu kila saa(I don't mind na huwa nabembeleza). Ila akianza kukulaumu kwa makosa madogo madogo ambayo siku zote alikuwa hata haulizi. Hakuna tena kukaa na washikaji wakati zamani alikuwa anaelewa sana tu. Hata ukienda home kwenyewe anapiga stori na mashosti waliomtembelea! Unawaza sa na mimi si ningekaa na washkaji kidogo tu?
Haya mapenzi ya kizungu sometimes sio issue wala nn

poleni sana wanaume. mtuvumilie tu hivo hivo. msitafte nyumba ndogo kipindi hicho. tusije tukamaliza kulea mimba tukaanza kulea magonjwa.
 
sasa anashinikizwa arudi..na wanaomshinikiza wanadai ile mimba ilimfanya shemeji awe hivo,na wanasema wanaume wengine hua hata wanatapika...sasa mie sielewi kabisa..yaani sielewi

hawajui maumivu aliyoyapata mwenzao. wasimshinikize wamuache afanye maamuzi mwenyewe.
 
mwallu kote nimesoma ila hapo kwenye kupigwa ngumi,mateke inaumiza.Angemlaza police kwanza atie adabu ebooo
 
Last edited by a moderator:
sijaolewa,sikai kwa dada...kama umenielewa,nimeuliza namna watu waliopitia hii changamoto walipitapita vipi,huwezi jua,pengine itamsaidia dada yangu....na kama ndugu,kile kipondo alichopewa kiliniuma..damu nzito kuliko maji
Wewe
umeolewa? au ndo bado unaishi kwa dada? anyway.huyo jamaa hamtendei haki
mkewe japokuwa mambo ya ndoa ni zaidi uyaonavyo kwa nje,pole kwa
dada...

Lakini ifike mahala tuache hii tabia ya kujadili ndoa za watu,mambo ya
wanandoa hayakuhusu hata kama ni ndugu
yako,
 
alipotea..wiki nzima akawa haonekani nyumbani kwake
mwallu
kote nimesoma ila hapo kwenye kupigwa ngumi,mateke inaumiza.Angemlaza
police kwanza atie adabu ebooo
 
Last edited by a moderator:

wanaume baadhi ni wapyumbavu sana
hua hawakumbuki kua mimba si kilema
akiona mwanamke na tumbo lake hawezi mibinjuo
basi soltn ni kutoka nje,na kumnyanyapaa mke kisa mimba
haya sasa mke kajifungua anataka nini,alisahau nini,ningechoma
zawadi zake mbele yake,yule aliempenda kipindi mwenzie mja mzito
kaishia wapi?na wanaambiwa mkosee mwanamke akiwa mzima,lakini
akiwa ktk hali ya mimba jitahidi kumridhisha mkeo coz ukimuumiza
yale maumivu hua ni ngumu kutoka moyoni!!shikamooni wanaume!!
 
Ndio maana, sasa nakuelewa ukilalamika.

Kuikweli mimba hazitabiriki, na mwanamme akizubaa unampanda kichwani, sio kwamba unakuwa na nia ya kumpanda kichwani, sometimes vitu unavyotaka hazitekelezeki ama ni uzembe wa mjamzito.

Mie niliwahi kulia kutwa nzima kisa mtu kashindwa kuniletea chips kuku, sikuwa na hela hapana, sikuweza kupika home, hapana, ila zake zilikuwa tamu zaidi. Imagine lunch time mtu atoke posta kuleta chips kuku survey, can u imagine? I felt so stupid baada ya kujifungua, na mara nyingi akinikumbusha huwa nakasirika sana.

But, kuna vitu vingine alifanya vya ajabu ajabu sana, kuhakikisha udongo haukosekani, ananununua wapi sitai kujua, nachotaka udongo toka Mwanza. Sometimes unakuta mtu kabeba brifcase uadhani kuna mihela kumbe kuna udongo anapeleka home.

Mimba sio ugonjwa wa akili, lazima mjamzito ajitahidi kubalance ili maisha yaende. Haiwezekani mtoto wa watu awe mtumwa kisa tu mimba, haikubaliki. Ila hapo kwenye kuchit hapo sikubaliani napo.

sijawahi kubeba mimba asee
 
Sasa mme asiende kazini? Hizo bills zitalipwa na nani?

Au mme maisha yasimame kabisa kisa mke ana mimba? Jamani!!!! Basi wanamme wataogopa kuzaa. Ni kweli kuna stage za mimba zikifika unataka mtu akae kwapani kama semometa, lakini hali halisi inashindikana.

nimemtumia dada yangu kama mfano..yanayomkuta najua kuna wengi yamewakuta,pengine zaidi ya hayo..kuhusu ubuyu na ukwaju,ushawahi kuona mjamzito anakaa na shati la mumewe? kila wakati anavuta harufu yake? kwa nini asikae na shati la mwingine?
 
hahahaha,kwamba akae kwapani...anakua tu ananusa harufu ya shati..wakati huo mumewe yuko kazini
Sasa mme asiende kazini?
Hizo bills zitalipwa na nani?

Au mme maisha yasimame kabisa kisa mke ana mimba? Jamani!!!! Basi
wanamme wataogopa kuzaa. Ni kweli kuna stage za mimba zikifika unataka
mtu akae kwapani kama semometa, lakini hali halisi
inashindikana.
 
Back
Top Bottom