Ni ngabu huyo
Hivyo ndivyo Mungu atakujalia maana ndicho unachokiomba.Ooh Mungu usinipe mapenzi maana wapendwao hakuna
thank you dear...Pole ila have faith
Be positive
Napenda kutoa ushuhuda.huu ni mwezi wa mapenzi
tunaomba kila mtu atoe ushuhuda wa maisha yake ya mapenzi
je upo kwenye mapenzi na mtu?
kama ni mume/mke je ni kweli unampenda mwezako kimapenzi? na yeye je anakupenda au mpo tu kwa ajili ya watoto?
mimi nipo bilabila sina anaenipenda wapo wanaonitamani tu wanile papuchi wasepe ila sijawahi kuona mtu ananipenda sidhani . na mimi nimeacha kupenda penda .
Sema mkuu naweza kuwa na vigezo.There ar thousand reasons you can be loved...though love doesnt ask why.Mtu anaeza kukupenda kwa jinsi tuu unavyochangia mijadala humu JF iwe ni point ama pumba, mtu anaweza kukupenda jinsi unavyotembea...unavyoongea...unavyocheka...sura yako..umbile lako...ustaarabu wako..uvivu wako...uchapakaz wako..ubahili wako(hahahahaha....no povu)...yaani kwa kifupi kila mtu ana kitu chakeeee...though kuna vitu common vinavyovutia wengi...especial...umbile..pesa..ama sura kwa dunia ya sasa...Mimi navutiwa sanaaaa na msichanaaa au mwanamkeee...............(siri yangu kwa sasa).
Nini sasa, hutaki kupendwa au[emoji35]Khaaa!
Maharage si yanafunikwa ili yakiruka yasitoke nje ya sufuria?so mfunike tu ataivaMi bwana kuna memba humu nampenda sana tatizo anaruka ruka kama maharage. Embu nisaidie nimfanyaje?
hahahha unavyo mbona hata bila kusema...Sema mkuu naweza kuwa na vigezo.
Nitajitahidi mkuu.Maharage si yanafunikwa ili yakiruka yasitoke nje ya sufuria?so mfunike tu ataiva
Basi tuanze kuwa mtu na bebi wakehahahha unavyo mbona hata bila kusema...
Teh unalove wangapi wewe msukuma? Tulia na mmoja ukoThank you baby. I love you.
Can I guess who that beautiful princess is? Mkuu mbona unaharibu kiasi hicho...Dah!My best Valentine's for the last three years ilikuwa na mdada niliekutana nae humu JF, kwenye thread kama hii. Kiutani tu nilisema im single for that day na yeye akasema yuko single tutumie hio siku pamoja. It was amazing, siku hio nilienda kumchukua kwao, maeneo yale mnaita ya ki-sure, Dar hii eneo hilo lipo top 3! Nimeibuka na ki-corolla geti kufunguliwa kumejaa ndinga za hatari hizo balaa! Mtoto wa watu wala hana makuu, kaingia hao tukaenda dinner. Aisee ilikuwa kama tumefahamiana miaka zaidi ya 20 iliopita kwasababu kumbe tulikaa mitaa fulani pamoja enzi hizo.
Huyu dada alinielewa sana sema ndio hivyo im sorry to admit niliharibu,na dada was too smart alikuwa anaweza kusoma mazingira. Allin all popote ulipo K you are amazing.
Nasubiri...Nakutumia pm. Wako watatu [emoji23][emoji23]
Wa kwanza Nyani Ngabu. Tuanze na huyo kwanza.Nasubiri...
Mzigua ana mambo!?Lete jina lake tumpe mshana jr afanye mambo
Aiseee....mimi nipo tayarihapana