Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,147
- 3,460
Tupe ushuhuda kuusu hii kamati ya nidhamu
Apa ni zaidi ya nidham mkuu😂😂Sijaona nidhamu zaidi ya nidhamu iliyopo hapo.
sawa mkulungwa...Apa ni zaidi ya nidham mkuu
😅😅😅Ni kamati nzito hiyo kama ni somo basi hiyo ni advanced physics...
Ukisimama nchale.
Ukikimbia nchale