Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 10,894 Reaction score 16,074 Sep 17, 2026 #101 Yaaani kila nikisoma huu udhi hapo mwisho nasema wanawake siyo watu wa mchezo mchezo makaburi yatajipanga hapo kwao
Yaaani kila nikisoma huu udhi hapo mwisho nasema wanawake siyo watu wa mchezo mchezo makaburi yatajipanga hapo kwao
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 34,583 Reaction score 100,788 Sep 17, 2026 #102 Huyu nae ana NIDA
Mallerina JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 3,690 Reaction score 9,433 Sep 17, 2026 #103 cocastic said: Huyo mwanamke ni amempenda sana bwana? Maana km ana kipato binafsi cha kuhudumia familia bila huyo Malaya mzoefu, shida ni gani kwake kusepa? Click to expand... Au inawezekana hataki kusepa labda mwanaume kaweka juju ndo maana anagandwa . Mwanaume anayekuenda kwa waganga ni redflag
cocastic said: Huyo mwanamke ni amempenda sana bwana? Maana km ana kipato binafsi cha kuhudumia familia bila huyo Malaya mzoefu, shida ni gani kwake kusepa? Click to expand... Au inawezekana hataki kusepa labda mwanaume kaweka juju ndo maana anagandwa . Mwanaume anayekuenda kwa waganga ni redflag
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 119,941 Reaction score 196,424 Sep 17, 2026 #104 Mallerina said: Au inawezekana hataki kusepa labda mwanaume kaweka juju ndo maana anagandwa . Mwanaume anayekuenda kwa waganga ni redflag Click to expand... πππ
Mallerina said: Au inawezekana hataki kusepa labda mwanaume kaweka juju ndo maana anagandwa . Mwanaume anayekuenda kwa waganga ni redflag Click to expand... πππ
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 34,583 Reaction score 100,788 Sep 17, 2026 #105 Huyu nae ana NIDA
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,459 Reaction score 195,276 Sep 19, 2026 #106 Kuna mambo yanafurahisha sana... Cc: Mahondaw