Tupate wadhamini kidogo

Huyo mwanamke ni amempenda sana bwana? Maana km ana kipato binafsi cha kuhudumia familia bila huyo Malaya mzoefu, shida ni gani kwake kusepa?

Halafu ndoa ya kikristo kutegemea kanisa litatue ni uongo, yeye afanye maamuzi kwa kuwa uchumi anao, akusanye watoto na kila kitu chake aende kwingine akaanze maisha mapya.

Yaan Pa1 na yote hayo anavumilia tu? Kisa nitaonekanaje kwa jamii? Au status ya kuwa mke wa fulani ili haki hiko ndani ni pachungu, Lol.
Polee yake.
 
Sepa nikuroge ufe kama huyo mpuuzi mwenzako niliyempatisha ajali akafa 😁😁 hapo vipi mrembo
 
Kwanza huyo jamaa anampenda sana mke wake, wanaume tunajuana...

Pili huyo dada alipaswa kurudi kwao, huyo jamaa atamfuata na atapunguza ujinga kwa asilimia kubwa...
Mnajichagulia vya unafuu! Angekuwa huyo dada ndio anaanzisha matatizo mngebwatuka vibaya mno kwenye comments, ila kwavile mnajuana basi mnamchagulia maamuzi! Mtu anapita na majirani marafiki wote eti atapunguza ujinga! Dawa ya moto ni moto!!
 
Kwahiyo angefanyaje hapo? Mnajikutaga miungu watu nyinyi🚮
Imeandikwa jino kwa jino, ila mimi nawaambieni msishindane na mtu mwovu, mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia, mtu akitaka kanzu yako, mpe na joho pia, mtu akikulazimisha kukimbia mile moja ongeza zaidi😃

Ila binadamu wabishi sana wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…