Killuminati
JF-Expert Member
- Apr 24, 2007
- 329
- 39
Man..Pac has so many hits it's not fair to just pick one...
Aisee I can't just narrow it down to one song...naupenda 'Brenda's got a baby' kwa sababu ana adress social issues katika mambo ya unprotected sex na personal responsibility. Brenda ni msichana wa miaka 12. Anazaa mtoto ambaye hawezi kumlea. Ni case ya mtoto kuzaa mtoto na failure ya jamii nzima kuwajibika. Brenda ni metaphor ya wasichana wadogo wanaopata mimba na kuishia kuwatupa watoto wao. Inasikitisha!
Naupenda pia "Trapped". Kwenye huu anaelezea mambo ya police brutality na jinsi polisi walivyo crooked. Halafu baada ya huu wimbo ndio LA riots zikaja...definitely he knew what he was talking about maana hata yeye alikuwa victim wa police brutality!
'To live and die in LA'....this is one of those feel good type of songs giving you a glimpse of eveyday life in LA (from his vantage point, of course)
Man..Pac has so many hits it's not fair to just pick one...
kumbe unajua muziki? nilifikiri unajua soulja boy na weezey
ndio zako yuuuuuuuuuuu.......nakushangaa wewe unaeshabikia type za akina wayne.....Hahahahaha...ndio mambo gani hayo sasa unataka kenigeuzia kibao? Soja boi si wewe bana.....
HIS rasping delivery and the effortless seductively rhymes over harsh,syncopated beats ensures that B.I.G will always be number one in hiphops pantheon of fame,the rest including TUPAC will be content with being second best
Tupac kama tumjuavyo wote ni mmojawapo wa wataalam wa hip hop na Rap kwa pamoja ambaye hajawahi kutokea...
Wengi tu wapenzi wa Tupac lakini si wote "tumjuavyo Tupac hajawahi kutokea."
Walikuwepo, na wapo, wengine waliotikisa ulimwengu wa hip hop kama au kupita Tupac. Rakim, Jay Z, Cool G Rap, Nas, KRS One, Big Daddy Kane, Notorius B.I.G, L.L. Cool J, ni baadhi ya walio katika ligi hiyo hiyo ya 2pac.
Wengi tu wapenzi wa Tupac lakini si wote "tumjuavyo Tupac hajawahi kutokea."
Walikuwepo, na wapo, wengine waliotikisa ulimwengu wa hip hop kama au kupita Tupac. Rakim, Jay Z, Cool G Rap, Nas, KRS One, Big Daddy Kane, Notorius B.I.G, L.L. Cool J, ni baadhi ya walio katika ligi hiyo hiyo ya 2pac.
HIS rasping delivery and the effortless seductively rhymes over harsh,syncopated beats ensures that B.I.G will always be number one in hiphops pantheon of fame,the rest including TUPAC will be content with being second best
ok mkuu, my bad. Ila from my point of view as individual, hakuna mkali wa Rap zaidi ya Mr. Shakur...
NI mtazamo wangu tu.