Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Nakubali upweke ni sababu mojawapo?Wewe upo fesibuku,insta au twitter mkuu?We hulali? Upweke ndo unafanya watu wahamie mitandaoni...wakipata watu wa kuwa keep busy huwaoni...
Nakubali upweke ni sababu mojawapo?Wewe upo fesibuku,insta au twitter mkuu?
hapana,mimi situmii mitandao hio,Naomba nikuulize kwanini hujichanganyi kwenye mitandao hio?Ni kwasababu ya umri au?Kuna tofauti kubwa ya JF na huko nilipokutaja na ni ANONYMOSITY,Huko kwengine information zako au picha zako zinaweza kuwa kwenye internet for decades na zikatumika ovyo kabisaaaaa!Nipo jf..wewe Unataka kuni add huko?
hapana,mimi situmii mitandao hio,Naomba nikuulize kwanini hujichanganyi kwenye mitandao hio?Ni kwasababu ya umri au?Kuna tofauti kubwa ya JF na huko nilipokutaja na ni ANONYMOSITY,Huko kwengine information zako au picha zako zinaweza kuwa kwenye internet for decades na zikatumika ovyo kabisaaaaa!
Sikatai kuhusu watu kuwepo online lakini namaanisha matumizi yasio sahihi,hukuti obama kaweka picha kanyoa kiduku right kwasababu lazima kuna jinsi ambayo anatakiwa ajirepresent!kitu ambacho watu wengi wanajisahau na kujiachia tu!It depends na aina ya watu unao jimix nao...usisahau hata kina Obama wapo online..mimi nipo kwa kiasi
Jamii naombeni mnisaidiemtu anaefahamu wapi wanauza computer mpya tena owe flat screen na warrant 1 year nitashukuru kama kuna mtu anafahamu Duka la karibu hapa dar...
Nahitaji haraka sana lakn ninafahamu haizidi gharama yangu ya mfukoni ila nipe jina la sehemu lkn pia BEI zake...
Mitandao ya kijamii pia inasababisha watu kushindwa hata kutembeleana,na hapo ndo ubinadam unapoisha,maana kila jambo laishia mitandaon,,,kuna masuala mengi kuhusu social capital na social networks ntayazungumzia kukikucha
Athari ziko nyingi sana lakini mimi niseme tu kuwa tatizo kubwa ni watumiaji wengi kukosa elimu sahihi juu ya matumizi sahihi ya mitandandao ya kijamii pamoja na vifaa vya teknolojia kama simu,tablets,pc nk. Tukiweza kubaini chanzo cha tatizo basi ni rahisi kupunguza athari!
***naurushweeeeee***
Hicho kibwagizo kimenikumbusha mbali wallah
Cc Angel Nylon
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Jamii naombeni mnisaidiemtu anaefahamu wapi wanauza computer mpya tena owe flat screen na warrant 1 year nitashukuru kama kuna mtu anafahamu Duka la karibu hapa dar...
Nahitaji haraka sana lakn ninafahamu haizidi gharama yangu ya mfukoni ila nipe jina la sehemu lkn pia BEI zake...