Tuongee Siasa na Star TV

Tuongee Siasa na Star TV

Repoa wanalijua hilo.
Point yangu ni kuwa mwanzo kabisa Kafulila anataja percent(proportion) i.e 50% lakini hatuelezi in 2005 kulikuwa na X% ya masikini na baadae Kuongezeka na kuwa Y% ya umasikini badala yake katutajia namba.tahadhari ni kwamba unaweza kuwa na utofauti wa namba lakini proportion zikawa sawa.sidhani kama REPOA walifanya conclusion kwa kutumia namba pekee,kama ni hivyo they also need to be corrected.

kama REPOA wanajua, basi Kafulila au mtu yeyote makini hana haja ya kuanza kuumiza kichwa juu ya kama utafiti ulizingatia proportions au laa. hiyo ni kazi ya REPOA. Naamini wao kama taasisi iliyobobea hawawezi kutoa publications bila kuzingatia vipengele muhimu.

sisi wengine huku (including kafulila, mimi, na wewe) tutatoa mawazo yetu kwa assumption tu. kwamba tuna-assume taarifa ya REPOA imezingatia kanuni za masuala ya takwimu .....ndiyo sayansi hiyo; bila assumption sayansi isingekuwepo.
 
Back
Top Bottom