Tuongee Siasa na Star TV

jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
783
169
Wanajf kuna mdahalo unaendelea star tv kuhusu siasa nchni, kama kawaida Dar yupo tambwe hza na kafulila, mwanza yupo wenje na wanasheria wa saut
 
mjadala unaendelea naona kafulila is doing good coz ana link politics and economy if politics is bad then no good economy growth. Dah ila my poor Hiza ni ka chiz ivi coz stil ana link migomo ya vyuo na CDM dah this hopeless
 
Hata hapa nilipo arusha umeme umekatika kuanzia jana usiku.inawezekana hii ikawa ni hujuma.CDM watuuzie CDs kama karanga mtaani.
 
Hakuna tv za betry kama redio? Tunanyanyasika sana kama leo j2 tupo home tumepumzka tunapata newz wanakata umeme
 
mkuu ningekujulisha ila tanesco wamechukua chao mapema

Tambwe Hiza: wananchi hawakuwa na shida ya katiba mpya ndo maana vyama vya cuf na chadema kura hazikutosha licha ya vyama hivi pinzani kuahidi katiba mpya ndani ya siku 100.
 
Kwakuwa upinzani hakushinda havipaswi kufanya siasa mpaka uchaguzi ujao - Hiza
 
mjadala unaendelea naona kafulila is doing good coz ana link politics and economy if politics is bad then no good economy growth. Dah ila my poor Hiza ni ka chiz ivi coz stil ana link migomo ya vyuo na CDM dah this hopeless

Ukiona hivyo ujue mashambulizi yamewaelemea. Tulishasema katika soka dawa ni kushambulia kwa nguvu. kuna matatu: mtafunga, watajifunga au mtapata penalti. Kinachoonekana hapa ccm wanajifunga goli wenyewe. Na magoli ya kujifunga matamu kweli!
 
Kafulila is doing a gud job, nw Wenje on air anamkandamiza Tambwe
 
Anaongea dogo wenje ameanza kwa kumponda hiza kuwa ni m2 hategemeki so aliyoyazungumza hayana mantik,
Anaainisha matatizo yanayoikabili wananchi inatokana na viongozi kushindwa kuwajibika kwa wanainchi
 
Hakuna tv za betry kama redio? Tunanyanyasika sana kama leo j2 tupo home tumepumzka tunapata newz wanakata umeme

pole mkuu. Wenje anasema Arusha watu hawamtaki mbunge wa tanga kupiga kura arusha. Kikatiba wana haki kuandamana.
 
Heche: Wananchi wapuuze pumba za Hiza. Anapokea mshahara kwa kufanya propaganda, hana jambo la kweli au la maana analoweza kusema.
 
Heche: Wananchi wapuuze pumba za Hiza. Anapokea mshahara kwa kufanya propaganda, hana jambo la kweli au la maana analoweza kusema.

ivi mkuu,tukizingatia maana ya propaganda,kweli sheria zinaruhusu tuwe na cheo cha kisanii kama hiki ktk chama kiadilifu!au ni ile ya mbaya mbaya?
 
Back
Top Bottom