Tuongee Siasa na Star TV

Mwanazuoni anasema shamba la karanga halimfichi ngedere,lazima haonekani tu!
 
Heche kwa kugha ya kisasa, amempa Tambwe za uso kwamba yeye analipwa kwa kuchafua watu na kupindisha mambo. Anasema yeye hasimamii hoja zake, mfano alisema kuwa hawezi kutoka CUF lakini baadae akatoka na kuanza kuyapinga aliyoyasimamia akiwa CUF Wapiga kura wa kizazi hiki si watu wakusikiliza propaganda za Hiza!
 
alisema(tambwe) hawezi kutoka cuf kwa sababu heri kulala(kufanya ngono) na mama yake mzazi kuliko kuhama cuf(kurudi ccm)
 
Cdm tangu 95 wabunge wanaongezeka mpaka leo cdm ina madiwan zaidi ya 1000. Mpaka kieleweke!
 
Kafulila: shule za kata ni shule za makabwela. 95 serikali ilisema itapunguza ufukara kwa 50%,wakati huo fukara walikuwa mil 11, baadae ufukara ukaongezeka mpaka mil12.7
 
Kafulila amenifurahisha kuhusu umasikini, ccm imeongeza umasikini badala ya kupunguza
 
Amani ni kuwaambia watu ukweli,asema Wenje.

Cheche/Data/Facts za Kafulila:

Serikali ya Mkwere iliahidi kupunguza umasikini kwa 50%.

2005: masikini walikuwa milioni 11. (REPOA)

2009: masikini walikuwa milioni 12 na laki 7. (REPOA).

Mimi sijui hasabu, elimu yangu ya ngumbalu............

hapo umasikini umepungua au umeongezeka?
 
Kwakuwa upinzani hakushinda havipaswi kufanya siasa mpaka uchaguzi ujao - Hiza

Hivi huyo TAMBWE HIZA mbona anakuwa mwepesi wa kusahau na mzito wa kufikilia,kwenye kampeni JK alikuwa anauwa vyama vya upinzanii kuwa ni vya msimu, yaani wakati wa uchaguzi tu sasa vina play their role effectively ndo wanaona kuwa vinavuruga nchi, ama kweli CCM wamefirilisika kwa hoja.
 
Tambwe Hiza: Katiba yetu ni nzuri. Kama kuna mapungufu tuyarekebise.

My Take: Kitengo cha Propaganda/Pumba cha CCM hakitaki Katiba mpya.
 
alisema(tambwe) hawezi kutoka cuf kwa sababu heri kulala(kufanya ngono) na mama yake mzazi kuliko kuhama cuf(kurudi ccm)

Tambe hiza, he need to walk the walk and not talk the talk, inabidi atueleza baada ya kurejea ccm kutoka CUF ali lala na mama yake? The guy is not credible source of information, he is flawd
 
Tambwe hajui kama migomo ya vyuo ilianza hata kabla yeye hajazaliwa na ilifanyika kudai haki zao. Wanachuo hawawezi kukaa kimya wakati wana matatizo.
 
Heche: Kumwaga damu siyo kupiga risasi: ni Watanzania kufa kwenye ajali kutokana na ubovu wa miundombinu na ubovu vyombo vya usafiri. Watanzania kufa mahospitalini kwa maradhi yanayotibika.

Watanzania wakihoji haya, wanaonekana (na CCM) kuwa wanafanya vurugu.
 
Mjadala umeahirishwa mpaka wiki ijayo na wamearikwa hao hao akina tambwe
 
Cheche/Data/Facts za Kafulila:

Serikali ya Mkwere iliahidi kupunguza umasikini kwa 50%.

2005: masikini walikuwa milioni 11. (REPOA)

2009: masikini walikuwa milioni 12 na laki 7. (REPOA).

Mimi sijui hasabu, elimu yangu ya ngumbalu............

hapo umasikini umepungua au umeongezeka?

kafulila anapoint nzuri lakini inahitaji uthibitisho wa kisayansi.tunahitaji kuwa na population ya wtz 2005 na 2009 ili kwa kutumia figure alizotaja tuweze kupata proportion ya masikini 2005 na 2009.
Hili ni kosa ambalo wanasiasa hulifanya kilamara.
Principle ni kwamba never compare numbers,compare proportion.kwa wale wanaojua biostatistics wanaweza kutusaidia.
 
Mjadala umehairishwa utaendelea next wk na wageni walewale akiwemo TABWE HIZA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom