mbona suala la kazi lime kuwa ndio mada kuu? Tuongee na mengine
hajui kuwa kunamajukwaa mengi tumsaidie badala ya kumlaumu jama!Huu ni upuuzi ningekuwa mode ningepiga ban hawa wageni wenye akili mgando
mbona suala la kazi lime kuwa ndio mada kuu? Tuongee na mengine
Kumbuka lakini uko jukwaa gani. we ungependa tuongee nini?labda utuambie ww unataka kuzungumzia nn ili nasi tukusaidie kujadili pamoja nawe
Nyie Kula Kulala Mnatabu nyie, yaani mpaka leo mtu hajui umuhimu wa kazi? Hawa ndio wanaolelewa na vibabu au Majimama.mbona suala la kazi lime kuwa ndio mada kuu? Tuongee na mengine
ndio mana nimemuuliza yy yuko na ishu gani ili akiitaja tutamwelekeza jukwaa la kuipeleka mana yy anauliza juu ya kwann watu wanaongelea tu maswala ya kazi wakati mengine ya kuongelea yako na ameulizia jukwaa la nafasi za kazi sasa yy alitaka kule watu waongelee nn kama sio maswala ya kazi..................... sorry if i get u wrongKumbuka lakini uko jukwaa gani. we ungependa tuongee nini?
zamani tuliwaita warugaruga watu kama hawa.