Tuongee na mengine

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
labda utuambie ww unataka kuzungumzia nn ili nasi tukusaidie kujadili pamoja nawe
 

Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,914
1,115
mbona suala la kazi lime kuwa ndio mada kuu? Tuongee na mengine
Nyie Kula Kulala Mnatabu nyie, yaani mpaka leo mtu hajui umuhimu wa kazi? Hawa ndio wanaolelewa na vibabu au Majimama.
 

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
Kumbuka lakini uko jukwaa gani. we ungependa tuongee nini?
ndio mana nimemuuliza yy yuko na ishu gani ili akiitaja tutamwelekeza jukwaa la kuipeleka mana yy anauliza juu ya kwann watu wanaongelea tu maswala ya kazi wakati mengine ya kuongelea yako na ameulizia jukwaa la nafasi za kazi sasa yy alitaka kule watu waongelee nn kama sio maswala ya kazi..................... sorry if i get u wrong
 

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
963
yy hajui jukwaa jingine zaidi ya hili yan anajua akingia jf anaenda moja kwa moja hapa hajui kuwa yapo na majukwaa mengne,.ni kumsaidia tu hakuna sbb ya kumponda
 

mchakachuaji

Member
Aug 12, 2010
58
7
huyu hana tofauti na yule waziri na mbunge aliyesema"mimi naliombea taifa wao wananipiga picha na kusema eti nimelala"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom