Natafuta mfanyakazi

Majukum ya kaz ninyapi? Ungeandika kwanza term ya bid ili huko mshauri ajue unataka kwenda wapi yeye aseti plan ya namna ya kufika
 
Nahitaji mtu mwenye akili na msomi ambaye nataka awe mshauri mkubwa wangu kwa mambo mbali mbali ya maisha yangu
Kama uko tayari ni text dm
Tuongee mambo mengine Niko serious bro’s
Yaani unataka mshauri uwe unamlipa mshahara au pia awe anakusaidia kazi Zako.? Tupo wazee ambao hatujazeeka. Fafanua kabla hatujaja dm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom