Peter jaluo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 1,750
- 248
atakua anataka ukuu wa wilaya
uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo.ukijiingiza kidole kisha nusa harufu utakayoisikia ndio STV
Hakika kabisaMkuu Gogo la Shamba, usipotoshe. Nilichosema rais wa Tanzania ni executive president na kauli yake ni kauli ya mwisho ambayo ni final na conclusive only if kauli hiyo itafuatiwa na waraka wa maandishi, GN notice yenye kutoa kanuni za utekelezaji na nikasisitiza sio kila kauli ya rais ni sheria.
Nikaeleza kuhusu kauli ya rais kuhifadhi fedha BOT imetekelezwa ila hakuna waraka unaozuia rasmi kufungua Fixed Deposit hivyo Gavana wa BOT na Msajili wa Hazina wako very right kutofautiana na rais kwa sababu sio kosa kufungua FDA hata kama rais hapendi, TRA hawakufanya kosa lolote kisheria ila wamefanya kosa la kimaadili kukaidi msimamo wa rais na ndio maana wametumbuliwa.
Paskali
Uliambiwa usitamani mali ya mwenzako kwenye amri kuu za Mungu WEWE umeacha?Huyo mwandishi anatafuta nafasi ya uteuzi, kwa hiyo anataka kutuambia raisi aliposema fyatueni watoto maana elimu ni bure maana yake ni lazima tutekeleze agizo la aina ile
Huwa nawaambia WAJAMAA NI LAANA KULIKO WAPAGANI. WAJAMAA HAWANA MUNGU NA MUNGU NI MWENYEKITI WA CHAMA.MUULIZE MCHINA AU MKOREA KASKAZINI AU MFUASI WA CASTRO. Ila utashangaa mungu wao anaposhindwa wanasema anahujumiwa ,sasa km anahujumiwa wanaomhujumu sio ndio wana kauli ya mwisho.Wanaanza kuita wewe ni kibaraka wa ubeberu. Ujamaa ni kifo ktk nchi. Km JK ALIKUJA NA POROJO KUHUSU KATIBA YA TUME YA WARIOBA WAKSHANGILIA NA KUSEMA KAWEKA SANA NA YEYE NDIO SAHIHI.KUNA UHAI TENA KTK TAIFA?Nd.wana JF kama mtafuatilia yanayoongelewa leo kwenye STV tuongee Asubuhi ni haibu hasa pale muandishi anaposisitiza kwamba kauli ya rais ndio ya mwisho hata kama haina ukweli,hivyo kusitokee na mtu yeyote kuoji. kwa maana hiyo tuamini pamoja na yote aliyosema rais tukubali kuzaa sana,tukubali fedha zimefichwa kwenye magodoro n.k hii ni haibu kubwa kwa wana habari
.,we kibuyu gogo la shamba rudi hapa;alieiongea kauli huyu hapa!Mkuu Gogo la Shamba, usipotoshe. Nilichosema rais wa Tanzania ni executive president na kauli yake ni kauli ya mwisho ambayo ni final na conclusive only if kauli hiyo itafuatiwa na waraka wa maandishi, GN notice yenye kutoa kanuni za utekelezaji na nikasisitiza sio kila kauli ya rais ni sheria.
Nikaeleza kuhusu kauli ya rais kuhifadhi fedha BOT imetekelezwa ila hakuna waraka unaozuia rasmi kufungua Fixed Deposit hivyo Gavana wa BOT na Msajili wa Hazina wako very right kutofautiana na rais kwa sababu sio kosa kufungua FDA hata kama rais hapendi, TRA hawakufanya kosa lolote kisheria ila wamefanya kosa la kimaadili kukaidi msimamo wa rais na ndio maana wametumbuliwa.
Paskali
Apimwe akiliNdugu wana JF kama mtafuatilia yanayoongelewa leo kwenye STV tuongee Asubuhi ni haibu hasa pale muandishi anaposisitiza kwamba kauli ya rais ndio ya mwisho hata kama haina ukweli,hivyo kusitokee na mtu yeyote kuhoji.
kwa maana hiyo tuamini pamoja na yote aliyosema rais tukubali kuzaa sana,tukubali fedha zimefichwa kwenye magodoro n.k hii ni haibu kubwa kwa wana habari
Ni wewe tena umehusika hapo.Ndio maana nikuona maandiko yako huwa nayadharau sana. Sijui hata km mnafahamu kuchumia tumbo kwa namna hii ni hasara sana kwa nchi kuliko jambazi anayepiga risasi na kuiba.Mkuu Gogo la Shamba, usipotoshe. Nilichosema rais wa Tanzania ni executive president na kauli yake ni kauli ya mwisho ambayo ni final na conclusive only if kauli hiyo itafuatiwa na waraka wa maandishi, GN notice yenye kutoa kanuni za utekelezaji na nikasisitiza sio kila kauli ya rais ni sheria.
Nikaeleza kuhusu kauli ya rais kuhifadhi fedha BOT imetekelezwa ila hakuna waraka unaozuia rasmi kufungua Fixed Deposit hivyo Gavana wa BOT na Msajili wa Hazina wako very right kutofautiana na rais kwa sababu sio kosa kufungua FDA hata kama rais hapendi, TRA hawakufanya kosa lolote kisheria ila wamefanya kosa la kimaadili kukaidi msimamo wa rais na ndio maana wametumbuliwa.
Paskali
kama nimemuelewa mtoa mada vizuri STV ni kifupi cha star televisionSTV!!! Ndalichako yupo sahihi kabisa kufumua mfumo wa elimu