Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 81,430
- 94,381
Huyu bwana kwa njaa aliyonayo anaweza hata kumuuza mzazi wake. Shame
Uwezo wa kufikiri unapokoma wakati uwezo wa kunena bado upo,unafikiria nini kitatokea?Namsikiliza, kiukweli huyu jamaa yuko vizuri, anazungumzia udhaifu mkubwa wa vyama vya upinzani nchini, ni kuitumia CCM kama role model ya chama tawala, hivyo concentration ya upinzani ni kutumia udhaifu wa CCM. This is very valid argument.
Niliwahi kusisitiza humu kuwa
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!
Paskali
Anaongea hivyo sababu ya kukosa akili, robo tatu ya nyumba za wananchi wa Tanzania ni tembe alafu jitu pumbavu linasema kuna maendeleo ya kutosha huku hakuna madawa kwenye hospitali za umma, maji, barabara mbovu n.kasiseme hakuna haja ya kuwa na upinzani tena labda atumie lugha nyingine tofauti ya hiyo ya hakuna haja,serikali sio malaika ni binadamu kama sisi lazima wapinzani wawepo ili kuwaobserve nan kukosa,kuelekeza na kuchangia mawazo mbadala
Huyu bwana naye sometimes huwa haeleweki kabisa.Uwezo wa kufikiri unapokoma wakati uwezo wa kunena bado upo,unafikiria nini kitatokea?
Nasubiri siku Tundu atakapochukua kadi ya CCM, itakuwa chereko na vigeregere!
Alikuwa anaitii kauli ya mnadhimu.Kwahyo alipomlaumu magufuli mwaka huu kwa KUUA upinzani alikuwa na maana gani ssa ?? Au ndio kagundua wiki hii kuwa havina kazi??
Kuelewa nako ni karama mkuu,Huyu bwana naye sometimes huwa haeleweki kabisa.
SureKuelewa nako ni karama mkuu,
Umenikumbusha Zitto!Think positively.Tundu is Ilborian.Never and ever ilborian are bright people and they never change their standing.
inawezekana kabisa, sio huwa haeleweki, bali uwezo finyu wa baadhi ya waelewaji, uko chini sana kiasi cha kushindwa kumuelewa!.Huyu bwana naye sometimes huwa haeleweki kabisa.
U pretending to know everythingNamsikiliza, kiukweli huyu jamaa yuko vizuri, anazungumzia udhaifu mkubwa wa vyama vya upinzani nchini, ni kuitumia CCM kama role model ya chama tawala, hivyo concentration ya upinzani ni kutumia udhaifu wa CCM. This is very valid argument.
Niliwahi kusisitiza humu kuwa
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!
Paskali
Mkuu,paschal Mayala huwa nasikilizaga tu hoja zako ila ndani yake kuna uchama wa ccm ila unataka utuaminishe kuwa wewe ni mtetezi wa tabaka la wasakatonge kama mimi.
Nasubiria siku na wewe ujitambulishe kupitia CCM ili wasakatonge wenzangu waamini hiki nilicho kiandika.
AbraDaVinci
jimmyfoxxgongo huko Marekani watu wazima wanalala nje vibanzani soma hiiKama ni kweli anasema hivyo basi huyu mtu ana shida sana,
Yaani kwa sababu serikali inatimiza wajibu wake vizuri ndo kusiwepo na vyama vya siasa(pinzani),
Nchi kama marekani pamoja na maendeleo yake yote bado wana vyama vya siasa,
Nchi kama ile ambayo uwajibikaji wa serikali ni mkubwa sana bado tuna vyama vya siasa,
Hapa kwetu ka-nchi kadogo ka-hovyo kalikojaa ufisadi,matumizi mabaya ya dola, huduma mbovu za afya na utititiri wa matukio ya hovyo
Jamaa ana matatizo for real na hapo tumbo ndo linaongea
Mkuu Paschal binafsi nakukubali sana hapa jamvini kupita mtu yoyote, tatizo lako ni moja tu unaishi kwa kupima upepo over. Hebu niambie toka 1961 CCM imefanya nini cha maana ambacho ni tangible zaidi ya maigizo ya kila siku? Ukisema elimu nionyeshe mtoto wa mkubwa hata mmoja ambaye anasoma shule za public, afya nani mtoto wa mkubwa anatibiwa kwenye hizi dispensary n.kinawezekana kabisa, sio huwa haeleweki, bali uwezo finyu wa baadhi ya waelewaji, uko chini sana kiasi cha kushindwa kumuelewa!.
Kwa wale waelewa wa level ya kumuelewa, wanamuelewa vizuri sana, na yuko very consistency anasimamia nini, ila uwasilishaji wa mada zake ndio una levels tofauti, kwa walengwa tofauti, akiwasilisha mada very sensitive, to be on a safe side, ataiwasilisha kwa mtindo wa fasihi, ili only wale wenye uwezo to read in between the lines tuu ndio watamwelewa, nyinyi wengine mtabaki gizani na kutomwelewa!.
Poleni.
Paskali