johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,969
- 141,981
Baada ya jana wadau mbalimbali kulaani wabunge na madiwani wanaohama hama vyama kwa kulitia taifa gharama kupitia kipindi cha malumbano ya hoja ITV leo mhamiaji Alberto Msando yuko Star tv akijibu mapigo. Karibu Star tv tumsikilize!
Ya kwako imeshikiliwa na nini?!!Kusikiliza akili iliyoshikiliwa na tumbo?
Amesema vyama vya upinzani vifutwe havina kazi tena!Mnafiki huyu siku lissu anapigwa risasi alilialia eti magufuli anaua demokrasia na upinzani.... Ghafla leo anasema ni mzalendo ??? Unafki mbaya sana alafu hawa ndio walitaka waongoze CHADEMA .....kwa hili tu huwa namheshimu mbowe
Ya kwako imeshikiliwa na nini?!!
Kwahyo alipomlaumu magufuli mwaka huu kwa KUUA upinzani alikuwa na maana gani ssa ?? Au ndio kagundua wiki hii kuwa havina kazi??Amesema vyama vya upinzani vifutwe havina kazi tena!
UbongoYa kwako imeshikiliwa na nini?!!
Baada ya jana wadau mbalimbali kulaani wabunge na madiwani wanaohama hama vyama kwa kulitia taifa gharama kupitia kipindi cha malumbano ya hoja ITV leo mhamiaji Alberto Msando yuko Star tv akijibu mapigo. Karibu Star tv tumsikilize!up date; Msando anasema yale yote yaliyokuwa yanapiganiwa na vyama vya upinzani SASA yanatekelezwa ipasavyo na Rais Magufuli hivyo hakuna haja ya kuwa na upinzani tena!
Basi kama ametamka hivyo afya yake ya akili haipo timamu na ni msomi hewaAmesema vyama vya upinzani vifutwe havina kazi tena!
Baada ya jana wadau mbalimbali kulaani wabunge na madiwani wanaohama hama vyama kwa kulitia taifa gharama kupitia kipindi cha malumbano ya hoja ITV leo mhamiaji Alberto Msando yuko Star tv akijibu mapigo. Karibu Star tv tumsikilize!up date; Msando anasema yale yote yaliyokuwa yanapiganiwa na vyama vya upinzani SASA yanatekelezwa ipasavyo na Rais Magufuli hivyo hakuna haja ya kuwa na upinzani tena!
KWA HIYO KWA UELEWA WAKE HUO, SIKU HOUSE GIRL AKIPIKA CHAKULA VIZURI TUMPIGE CHINI WIFE NA KUHAMIA KWA HOUSE GIRL? AMA KWELI NJAA NI MWANAHARAMU! AMA KWELI SASA MONEY IS POWER!!Baada ya jana wadau mbalimbali kulaani wabunge na madiwani wanaohama hama vyama kwa kulitia taifa gharama kupitia kipindi cha malumbano ya hoja ITV leo mhamiaji Alberto Msando yuko Star tv akijibu mapigo. Karibu Star tv tumsikilize!up date; Msando anasema yale yote yaliyokuwa yanapiganiwa na vyama vya upinzani SASA yanatekelezwa ipasavyo na Rais Magufuli hivyo hakuna haja ya kuwa na upinzani tena!
Nasubiri siku Tundu atakapochukua kadi ya CCM, itakuwa chereko na vigeregere!Hakuna wasomi tz bali tuna waganga njaa.MM namwamini Tundu Lissu tu lkn sina chama ila ni mpenda ukweli na wala sipapasi maneno.
Asiseme hakuna haja ya kuwa na upinzani tena labda atumie lugha nyingine tofauti ya hiyo ya hakuna haja,serikali sio malaika ni binadamu kama sisi lazima wapinzani wawepo ili kuwaobserve nan kukosa,kuelekeza na kuchangia mawazo mbadalaBaada ya jana wadau mbalimbali kulaani wabunge na madiwani wanaohama hama vyama kwa kulitia taifa gharama kupitia kipindi cha malumbano ya hoja ITV leo mhamiaji Alberto Msando yuko Star tv akijibu mapigo. Karibu Star tv tumsikilize!up date; Msando anasema yale yote yaliyokuwa yanapiganiwa na vyama vya upinzani SASA yanatekelezwa ipasavyo na Rais Magufuli hivyo hakuna haja ya kuwa na upinzani tena!