Tuongee asubuhi na Albert Msando! Mada: Hama hama ndani ya vyama vya Siasa. Je, ni kukua kwa demokrasia au ni rushwa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,745
139,519
Baada ya jana wadau mbalimbali kulaani wabunge na madiwani wanaohama hama vyama kwa kulitia taifa gharama kupitia kipindi cha malumbano ya hoja ITV leo mhamiaji Alberto Msando yuko Star tv akijibu mapigo. Karibu Star tv tumsikilize!up date; Msando anasema yale yote yaliyokuwa yanapiganiwa na vyama vya upinzani SASA yanatekelezwa ipasavyo na Rais Magufuli hivyo hakuna haja ya kuwa na upinzani tena!
 
Mnafiki huyu siku lissu anapigwa risasi alilialia eti magufuli anaua demokrasia na upinzani.... Ghafla leo anasema ni mzalendo ??? Unafki mbaya sana alafu hawa ndio walitaka waongoze CHADEMA .....kwa hili tu huwa namheshimu mbowe
 
Amesema vyama vya upinzani vifutwe havina kazi tena!
 
Hamna lolote kukubali ukandamizaji wa democrasia ndio kukomaa kisiasa. Kutumia dola kupiga watu. Aseme ametumia ile wanaita if you fight them, join them
 
Baada ya jana wadau mbalimbali kulaani wabunge na madiwani wanaohama hama vyama kwa kulitia taifa gharama kupitia kipindi cha malumbano ya hoja ITV leo mhamiaji Alberto Msando yuko Star tv akijibu mapigo. Karibu Star tv tumsikilize!up date; Msando anasema yale yote yaliyokuwa yanapiganiwa na vyama vya upinzani SASA yanatekelezwa ipasavyo na Rais Magufuli hivyo hakuna haja ya kuwa na upinzani tena!

Hakuna wasomi tz bali tuna waganga njaa.MM namwamini Tundu Lissu tu lkn sina chama ila ni mpenda ukweli na wala sipapasi maneno.
 
Kama ni kweli anasema hivyo basi huyu mtu ana shida sana,

Yaani kwa sababu serikali inatimiza wajibu wake vizuri ndo kusiwepo na vyama vya siasa(pinzani),

Nchi kama marekani pamoja na maendeleo yake yote bado wana vyama vya siasa,

Nchi kama ile ambayo uwajibikaji wa serikali ni mkubwa sana bado tuna vyama vya siasa,

Hapa kwetu ka-nchi kadogo ka-hovyo kalikojaa ufisadi,matumizi mabaya ya dola, huduma mbovu za afya na utititiri wa matukio ya hovyo

Jamaa ana matatizo for real na hapo tumbo ndo linaongea
 
Baada ya jana wadau mbalimbali kulaani wabunge na madiwani wanaohama hama vyama kwa kulitia taifa gharama kupitia kipindi cha malumbano ya hoja ITV leo mhamiaji Alberto Msando yuko Star tv akijibu mapigo. Karibu Star tv tumsikilize!up date; Msando anasema yale yote yaliyokuwa yanapiganiwa na vyama vya upinzani SASA yanatekelezwa ipasavyo na Rais Magufuli hivyo hakuna haja ya kuwa na upinzani tena!
Baada ya jana wadau mbalimbali kulaani wabunge na madiwani wanaohama hama vyama kwa kulitia taifa gharama kupitia kipindi cha malumbano ya hoja ITV leo mhamiaji Alberto Msando yuko Star tv akijibu mapigo. Karibu Star tv tumsikilize!up date; Msando anasema yale yote yaliyokuwa yanapiganiwa na vyama vya upinzani SASA yanatekelezwa ipasavyo na Rais Magufuli hivyo hakuna haja ya kuwa na upinzani tena!
KWA HIYO KWA UELEWA WAKE HUO, SIKU HOUSE GIRL AKIPIKA CHAKULA VIZURI TUMPIGE CHINI WIFE NA KUHAMIA KWA HOUSE GIRL? AMA KWELI NJAA NI MWANAHARAMU! AMA KWELI SASA MONEY IS POWER!!
 
Hakuna wasomi tz bali tuna waganga njaa.MM namwamini Tundu Lissu tu lkn sina chama ila ni mpenda ukweli na wala sipapasi maneno.
Nasubiri siku Tundu atakapochukua kadi ya CCM, itakuwa chereko na vigeregere!
 
Baada ya jana wadau mbalimbali kulaani wabunge na madiwani wanaohama hama vyama kwa kulitia taifa gharama kupitia kipindi cha malumbano ya hoja ITV leo mhamiaji Alberto Msando yuko Star tv akijibu mapigo. Karibu Star tv tumsikilize!up date; Msando anasema yale yote yaliyokuwa yanapiganiwa na vyama vya upinzani SASA yanatekelezwa ipasavyo na Rais Magufuli hivyo hakuna haja ya kuwa na upinzani tena!
Asiseme hakuna haja ya kuwa na upinzani tena labda atumie lugha nyingine tofauti ya hiyo ya hakuna haja,serikali sio malaika ni binadamu kama sisi lazima wapinzani wawepo ili kuwaobserve nan kukosa,kuelekeza na kuchangia mawazo mbadala
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom