johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 82,745
- 139,516
Baada ya jana wadau mbalimbali kulaani wabunge na madiwani wanaohama hama vyama kwa kulitia taifa gharama kupitia kipindi cha malumbano ya hoja ITV leo mhamiaji Alberto Msando yuko Star tv akijibu mapigo. Karibu Star tv tumsikilize!up date; Msando anasema yale yote yaliyokuwa yanapiganiwa na vyama vya upinzani SASA yanatekelezwa ipasavyo na Rais Magufuli hivyo hakuna haja ya kuwa na upinzani tena!