Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,549
- 5,078
Huyu alinipa maana yake bana daaah...Mwananchi mnyonge proton pump njoo huku.
Bundle ni nyingi sana nimepata GB kama nne, nimemtenga huyu jamaa proton pump naona anapiga kelele tu.leo una bundle mzee.
ni mwendo wa nyuzi za video tu.
Huyu nadhani hili jina alilitoa kule kwny NO FAP.Mwananchi mnyonge proton pump njoo huku.
hamna suruali hapoKwahiyo,unavaa visuruali robo tatu kama hivyo?
Nzuri sana hii.
Nimeingia chaka, usiwasanue.Umeona ulevi wako unavokutuma
Sio windhoek
Ni windeckπ
Wewe kweli ni poor brain, lakini hayo majina kwa mtoto wa form one ni ngumu kuyakalili mimi nilikuja kuyakalili form four karibu na necta.Mii hapa hii poor brain
kipindi hiko tunasoma history topic ya evolution of man...
Kuna zile hatua eg. homo eructus... Xristics zake tunasema alikua poor brain.
Sasa class kila nikiona mtu kajibu swali opposite mi nilikua na comment poor brain
Lilinikaa sana hili neno...
πππππ
Mi ni geneus ππππππππWewe kweli ni poor brain, lakini hayo majina kwa mtoto wa form one ni ngumu kuyakalili mimi nilikuja kuyakalili form four karibu na necta.
Wee muongo...Poor Brain unataka kusemaje?π
Kwa kwel uminishirikisha mm na pwani umenitusiπWee muongo...
Umekaa pwani wewe adi ujue kuogelea.....ππππππ