Maji ya MTO Nile yanaanzia milima ya Burundi Na Kongo, yanatengeneza MTO unaojulikana kama MTO Ruvubu. Baadae MTO huo unaungana Na MTO kutoka Rwanda ujulikanoa kama Ahakagera pale Rusumo. Kwa pamoja mito hiyo ikiungana inatengeneza MTO Kagera, ambao unamwaga Maji yake ziwa Victoria. Inasemekana kuwa ile kasi ya MTO Kagera inafanya Maji yake yasiweze kuchanganyika Na Maji ya ziwani, hivyo hupitiliza Na kutengeneza MTO Nile. Lakini pia bado kuna mito midogo kutoka mchi za Uganda , Sudani Na Ethiopia uongezeaka kwenye MTO Nile